By the way ukihitaji hosting kwa hapa bongo achana na hawa retailers. Kuna washkaji wanaservers zao kabisa hapa hapa bongo wacheki wao inficloud.co.tzHome page
View attachment 669577
Functioning Contact page
View attachment 669578
Nimeitengeneza kwa Laravel at the backend, HTML, CSS, Animate.css na bootstrap kwenye front end!
Bado inafanyiwa minor improvements naamini mpaka siku niki host itakua bora zaidi ya hapa!
You are welcome mkuu!
Ngoja nitawapitia nione huduma zao mkuu, thank you sana!!By the way ukihitaji hosting kwa hapa bongo achana na hawa retailers. Kuna washkaji wanaservers zao kabisa hapa hapa bongo wacheki wao inficloud.co.tz
THank you mkuu!!!wazo zuri, keep it up
ndio unaweza,japo ni kamzunguko, (husaidia ku optimize dynamic memory wakati app ikirun ), libraries zinalemaza kiukweli, kwa namna moja au nyingine, issue kubwa apa ni kupunguza matumizi yake,
Ivi unaweza ku code bila ku import libraries au classes? Mfano ukitaka kutumia scanner utaweza bila ku import?
Sina degree ya CoET.Kumbe unaonekana kidogo unajua programming!!!
Sijui ulijifunzia wapi, maana una degree ya Civil kutoka CoET
Hii pumba sasa!!!
Yaani Java uandike code bila ku import libraries!!! Upuuzi sasa huu.
Kwanini uandike from scratch wakati classes zipo ready for you.
Utakua unarudi miaka 30 nyuma!!
Hongera sana mwanzo mzuri! Upo mkoa gani?Habari wana JF!
Mwaka jana ulipoanza niliweka nia ya kujifunza website development, nashukuru nimefanikiwa kutengeneza website yangu na kilichobaki kuifanyia minor improvements na kuihost (nitaileta mrejesho hapa nikisha i host)!
Sasa huu ni mwaka mpya umeanza na nimeona ni vyema nikajiongezea ujuzi katika hii anga ya teknolojia. Kwa kifupi nimeamua kuanza kujifunza programming, regardless of my background naamini nitatoboa!!
Haya ndio malengo yangu mwaka huu!
My vision: Kuwa android developer.
My mission: Kujifunza java programming na android development na kufanya practice mpaka niweze!
Hii safari itagawanyika katika sehemu mbili!
Sehemu ya kwanza ni kujifunza programming!
Sehemu ya pili ni kujifunza android development!
Nitatenga atleast masaa matatu kwa siku(yanaweza kuongezeka), yaani atleast lisaa limoja ni kusoma new ideas kupitia vitabu na youtube videos then masaa mawili niku practice/ku-code nilichojifunza!
NB: Nakaribisha wenzangu wenye nia tuanze hii safari ambayo kiuhalisia si safari rahisi ila penye nia pana njia na nna amini tutafanikiwa!
Nakaribisha mawazo yenu wadau!!
Falsafa nzima ya OOP imejengwa kwenye concept ya class ,data encapsulation , code reusability kupitia inheritance etc .Nimeshangaa pendekezo la programming bila imports. Absurd.Hii pumba sasa!!!
Yaani Java uandike code bila ku import libraries!!! Upuuzi sasa huu.
Kwanini uandike from scratch wakati classes zipo ready for you.
Utakua unarudi miaka 30 nyuma!!