Mzungu ni nani?
Unapo mzungumzia mzungu unamaanisha nini?
Je kila anae ishi ulaya au marekani ni mzungu?
Au Unamaanisha Mzungu ni Binadam mwenye ngozi nyeupe!!
Km uzungu ni rangi ya ngozi Je
Wahindi ni wazungu?
Waarabu ni wazungu?
Wachina ni wazungu?
Wa philipino ni wazungu?
Km uzungu ni kuzaliwa' kukua au kuishia ulaya pekee
Je Wale Makaburu walio zaliwa' kulia na kufia Sauzi afrika sio Wazungu?
Na km Mzungu ni MTU anaye ishi ulaya
Je
Baloteli ni mzungu?
Ashley young ni mzungu?
Bolingo li mbombo ni mzungu?
Au dhana ya uzungu uishia ktk Tabia pekee?