myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,143
Aisee...Habari za muda huu
Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie??
Akasema yeye hafanyi biashara
Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina lake sio halisi.Nikamchombeza chombeza akaitika
Nikamwambia tukutane Lodge akakubali kwa makubaliano ya kumlipa 30K
Ikafika siku ya kuja Lodge nikampigia simu akapokea,nikaongea nae akaniwmbia anaenda mjini kununua mafuta ya kupikia nikamwambia apitie twende wote akakataa.( Nilipiga ili kuona if yuko na Safari kweli)
Mimi nikatangulia mjini nikachukua lodge
Alivyofika akaniwmbia nitoke nikampokee , nikamwambia naoga aje tuu ndani akabisha bisha mwisho akakubali
Alivyofika hakuamini macho yake kunikuta ndio Mimi
Akauliza kwanini umenifanyia hivi??
Nikampanga panga
Akagoma.Nikamwambia Basi Mimi nakuacha hapa
Badae akaniomba nisimwambie yeyote kuhusu lile na hatorudia tena akanipa mzigo na hela hakudai
Huwa nashangaa demu anapokanusha hilo wakati tu yeye K yake anawapa watu ambao ana uhakika watamtumia 20-50K anytime akihitaji😂 na wako zaidi ya mmoja kwenye simu yake.Hatar
Halafu ukute ni mtu wa mtu aisee mke au mpenzi wako kuliwa inaumaSasa hapa si unakuwa unaongea na watu ambao ni wafanya biashara, unategemea atakataa vipi wakati mzigo uko sokoni??
Unataka kuniambia mwanaume ambaye unamvulia chupi weekends yeye hakupi hio elfu 30 badala ya kukukaza? Huna trend ya wanaume wa hivyo katika historia ya usichana wako?Sasa hapa si unakuwa unaongea na watu ambao ni wafanya biashara, unategemea atakataa vipi wakati mzigo uko sokoni??
Sema ni nadra sana kuishi na mtu wa hivi halafu usimjue, labda utakuwa unampenda tu hivyo hivyo ila tabia zake za kutokataa unazijuaHalafu ukute ni mtu wa mtu aisee mke au mpenzi wako kuliwa inauma
Mwanaume kutoa hela ni kawaida tu hata asipopewa mzigo, shida ni hii ya mtu kuamua kujiweka sokoni kabisaUnataka kuniambia mwanaume ambaye unamvulia chupi weekends yeye hakupi hio elfu 30 badala ya kukukaza? Huna trend ya wanaume wa hivyo katika historia ya usichana wako?
Laki ndefu mzeeNjoo weekend hii tuspend plus kuna laki 1 kwa ajili yako ukinipa mbususu. Hii sentensi inaweza kuvua chupi 90% ya wanawake wa kileo ambao wamezagaa humu humu mitandaoni!
Akila hata mia yangu simwachi ,nipo tayari kutumia laki3 ili nifike lengoNdo maana nimeamua kuwa singo tu.mapenzi bila pesa utateseka tu.
Ndo rafiki yangu mmoja kaomba namba tarehe 15.tarehe 16 kapigwa kizinga Cha 5,000.
Ananipigia simu analia Lia[emoji16][emoji16][emoji16].oh demu mwenyewe anataka hela.nikamwambia mapenzi pesa hakuna demu wa bure.
Leo kanitumia meseji nimefuta namba zake
according to who?Hakuna mwanaume Malaya duniani
Kuna mwalimu wangu wa Bios Olevel aliitwa Madam Bura alisisitiza hivyo Mara nyingiaccording to who?
Kamusi ya kiswahili sanifuWe jamaa ni mpuuzi
Ina mana umeona umalaya wa aliyekuuzia,wewe uliyenunua hujioni
Shame on you
SAFI!!. Hii ndiyo tunasema kuwa tayari kuuza Ng'ombe kwa Kesi ya Kuku.Akila hata mia yangu simwachi ,nipo tayari kutumia laki3 ili nifike lengo
Hata huyo usumbufu aliokuwa analeta ni sababu hajaambiwa atapewa hela!Mwanaume kutoa hela ni kawaida tu hata asipopewa mzigo, shida ni hii ya mtu kuamua kujiweka sokoni kabisa
Hahahahah wahuni kwa hali ilivyokaza mbususu bei elekezi lazma ishuke siku kadhaa kabla ya sikukuu😅Laki ndefu mzee
Kwasaivi 70 (msimu wa sikukuu) uhakika
Hapo 25 kusuka ,50 chumba
Lazima washushe na wajirahisishe vinginevyo Bucha zitanunaHahahahah wahuni kwa hali ilivyokaza mbususu bei elekezi lazma ishuke siku kadhaa kabla ya sikukuu😅