Nimeamini wanaume hawaaminiki

Thubutuu..! Siendi yaani nikapigane vita kwa skills gani nilizonazo
Wanakuchukua wewe wanakubrash fasta tofauti na Mimi mpaka waanze upya. Anyway ukiwa kijana wewe tayar ni Askari kwa nchi yako usijali
 
Mdogo wangu mzuri,

Kamwe usiweke Imani kwa kiumbe hai aitwaye mwanadamu, iwe wa kike ama kiume, kuwa 'dissapointed' ni suala la kugusa tu..!!
Dah nimesoma kwa umakini nikidhani kuna maajabu!

Mbona ni kawaida kabisa mme kumjari mke na nje anakula kama kawa!
 
Katika watu waaminifu Duniani ni wanaume labda huyo mmoja baba Cathe
 
Analyse
 
Kwani mtu akitoa dislike ni vibaya?πŸ˜‚
Mimi ananichosha maneno yake, mambo yake halafu ukizingatia ni kijana mdogo
Ni vibaya sana na anatakiwa apigwe banned kwa Nini ana dislike hovyo hovyo
 
Ni vibaya sana na anatakiwa apigwe banned kwa Nini ana dislike hovyo hovyo
Kumbe kudislike hovyo humu ni kosa! Itakua kweli sababu jana kuna mtu kapigwa ban kisa alicomment emoji za kucheka zikajaza page 1 yoteπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…