Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,343
- 201,605
Sifa ya moyo Tamaa Mkuu, Moyo sifa yake kutamaniHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Sample size ilikuwa ngapi, dr wengine hatujui tutakula nini tunapata wapi tamaa wakati njaa kaliSadly, sample iliyochangia mada kwa kiwango kikubwa haipingani na matokeo ya utafiti wa ephen_ [emoji3061]
Ujue hata wewe unayo tamaaMnajiendekezaaaaaaaa
Key word hapo ni tamaa eph, matokeo ya tamaa ni kitu kingine, kuhusu kutongoza muhukumu yeye maana sisi wengine hata kutongoza hatuweziNinayo ndio lakini sio kama ya kwenu, unaenda kabisa kumtongoza mwanamke mwingine
Kaba mliyopewa niyakumeza mate unapomtamani mwingine bila kumtongoza sababu tayari unaye wa kwako!!!!!!!
Yes! Nimeelewa kua sio wanaume woteKey word hapo ni tamaa eph, matokeo ya tamaa ni kitu kingine, kuhusu kutongoza muhukumu yeye maana sisi wengine hata kutongoza hatuwezi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni kawaida na ndio asili, sio kwamba baba cate hampendi mkewe no,kuna mda kichwa cha chini kinafanya maamuzi yake binafsi bila kushirikisha cha juu.
Pole sana kuvunjika moyo ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.Yes! Nimeelewa kua sio wanaume wote
Lkn hapana mwanzo niliamini sio wote ila Baba Cathe kanivunja moyo[emoji41]
Primary ilikua moja tu, sikuhesabu secondary ila ni nyinginyingi kiasi kwamba inabidi tukubali matokeo.Sample size ilikuwa ngapi, dr wengine hatujui tutakula nini tunapata wapi tamaa wakati njaa kali
Usipoenda tena Mama cathe atashtukia kitu, we nenda tuMbona unanifokea!
Ungeona hali halisi usingesema hivi
Ila sitoenda tena
Tukiwa na njaa hatuwazi kabisa hayo majambo, lakini wengine hata kutongoza hawajui that's make a study kuwa na fake conclusionPrimary ilikua moja tu, sikuhesabu secondary ila ni nyinginyingi kiasi kwamba inabidi tukubali matokeo.
Ehhhh...kumbe dawa yenu ni njaa tu ehhh???[emoji16]
Asante kwakunipa mbinu. From now on hashibi mtu kwa Dr!![emoji38]
πππππ€£ udugu njoo piemAkuje wallah [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kumuona mwanamme single?Na wanaume walio single
Nimeshachukua notes!πTukiwa na njaa hatuwazi kabisa hayo majambo, lakini wengine hata kutongoza hawajui that's make a study kuwa na fake conclusion
Nakujaaa, tuma text bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] udugu njoo piem
Nimekutumia mbona hufungui??Nakujaaa, tuma text bas [emoji23][emoji23][emoji23]