Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

after ugomvi show hua lina noga sana
 
Duu yani nakushangaa yani kipigo kwako nikawaida
, kama kweli unachezea kipigo kutoka kwa mwenzi wako kaa jitafakari.
Alafu mbona mm sichezei kipigo lakini hata maswala ya kupigana siyapendi huwa napenda peace muda wote niliyo yaongea hapo ni maoni tu
usichukulie ndio real life yangu.
 
Alafu mbona mm sichezei kipigo lakini hata maswala ya kupigana siyapendi huwa napenda peace muda wote niliyo yaongea hapo ni maoni tu
usichukulie ndio real life yangu.
Whetever the case kipigo hapana, sasa kama mtu unaelewa huwezi kutoa mchango wa kipigo ni kawaida 🤗🤗🤗
Nway ni vizur kama you live in peace na usikariri kwamba kupendwa au kupendana ni mpaka muwe mnakwanzana , pigana and stuff like that.
 
Kukwazana ipo sana kuna muda unampiga mtu anakujibu ovyo wala hataki kabisa kuongea au unamuuliza kitu fulani anakujibu mbovu kwani ww hizi hukutani nazo?
 
vipi ndio mwisho wa uzi mkuu?
 
Vp siku kama ukapewa kipigo itakuwaje?
Ntavunja uhusiano, maana ukiendelea atazoea kukupiga na mwisho inaweza kuleta madhara makubwa.

Sisi wote ni watu wazima kwanini tusikae chini tukazungumza tukarekebisha mpaka tufike kupigana, kama tumeshindwana kwanini tuendelee kuwa pamoja si tuachane tu kwa kheri.
 
Hapo ndio umependa sasa alafu siku hiyo umekula kipigo alafu baadaye anakuomba msamaha utamkubalia au utakataa kuendelea naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…