Nimeamini mtalaka hatongozwi

Mkuu ndo umeamini hivi karibuni,?

Hiyo ni kawaida hata wenyewe wakikaa ktk vikao vyao wanaliongelea kwa uzuri sana,

Hata sisi pia ni dhaifu upande huo,,

Ndugu na wewe ukioa inabidi uwe mpole tu kuchapiwa kama unavowachapia wenzio.

DUNIA DUARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kufanya na punda, tatizo kufanya na wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Una point, lakini hapa nachozungumzia wako wakosaji wawili ila angalia mawe yanarushwa kwa nani?
Pili si huwa mnasema huwa mnakinai chakula aina moja, nikupe siri hata ke hukinai sema tu kufumba macho.
Tatu kuna genuine feelings, si huwa mnasema humu huwa kuna wakati me huoa tu kwa hisia ila maslahi mengine, unajua nini kuna cases hizo pia kwa ke! So hold on wekeni mawe chini.
 

Mwanamke kama mliachana kistaarabu alafu mzee ndalama ipo ah kupasha kiporo wala sio kazi.
 

Ah wee nae unazingua...wakijileta wee wagegede tuu mwanawane au unaogopa tego kwenye papuchi zao?
 
Dooh!!!! Haya bana.Dear X nakuheshim huko ulipoo.Nikiandika chchote kuhusu ww hapa jukwaan basi ni yale mazur yako tu na si vinginevyo
 
Mm mwenyewe Kuna X wangu tunakutanaga tuu afu baada ya muda mfupi ananiita nakula mzgo afu apo apo nakiamsha Tena anafua Ad no kumbe anayokichwan cjui tatzo nn Ani mnaweza chuniana miez Ata minne ila ukimtafta a najifanya kukaza ukiendelea anajilegeza anakuja geto tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi kwa mtoa mada, congrats to you
 
Hii ilitakiwa hiwe comment katika Uzi wa kula tunda kimasihara How wewe umefanya kuwa Uzi

Ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…