Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,549
- 35,107
Mji wa dar unakua kwa spidi kali sana kupita miji mingine hapa tanzania Hususani Mwanza na Arusha ambayo ndo miji mingine inayoonyesha kuwa na nguvu ya ukuaji....mfano dar imezidi Mwanza karbia seven times, inashangaza sana hii ni tofauti na kwa wenzetu, ukichukua miji ya Dallas, Las vegas, Los angels, Washington na Chicago kule USA, Au Tokyo, Osaka, Sapporo na Yokohama kule Japani haijaachana kwa gape kubwa kama hapa tz.. yaani ukitoka dar na kwenda miji mingine unahsi kama upo kwenye kichuguu dah...Karbuni wadau kwa maoni yenu
Dar es salaam
ARUSHA
MWANZA
Dar es salaam
ARUSHA
MWANZA