Acha uongo. Hakuna guest yenye jina hilo. Niijuayo ni hiyo hap manzese na huenda uko hapo kwani ni ya bei poa sana! Nipo mkwaringo hapa kama kweli tuonane hapo hospital saa sita mchana!
Ndio maana nakuambia Mara kwa Mara unapoandika tumia akili sio moyo unavyo kutuma.
Umeona kiongozi gani anapelekwa lupango anatoka machozi kama sio kuonyesha alama ya victory? Tulio nje ndio tunapiga kelele kwa uonevu was serikali ya Magufuli na ni haki ya raia kupinga uonevu wowote