Kutoa icloud ni mtihani ndugu zangu, si mchezo hapa ndipo Iphone walipocheza kwenye swala la security kwa kweli wapewe hongera zao, maana kama ni kutoa lock za line kwenye iphone kutumia line yoyote inawezekana kabisa unaweza wasiliana hata na mimi nikakusaidia pindi inapokuwa imefungwa.