Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Kama una tamaa una tamaa hata upewe kisiwa na sheli anamegewa McDonalds mwenye hela zake itakuwa nyie wa vitz na kupangiwa nyumba/ubavu.
Ukweli utabaki pale pale kwamba ndevu hata simba anazo
Mbona tumeona huko hatuna hela kihivyo lakini tunaishi vizuri tu, Umachame inategemea mtu na mtu hata makabila mengine tunasikia yanaua waume zao kila siku.
I am a man,wala sihitaji mke wakati sina hela,hata kama huyo msichana ana background nzuri kiuchumi.Kwa mwanaume kukosa hela ni fedheha kuu,bora utafute hela kwanza na mengine yafuate.
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
Nishadadie kabila la Wapalestina?
Njoo kwangu, ujue kukata kiuno tu, vingine mipango ya Mungu, tutasomeshana wenyewe, tutatafuta hela pamoja, kama ni magari tutaenda wote show room. Pasu kwa pasu.
yakufanya maisha yakawaida yaende bila kikwazo,watoto wasome shule nzuri na kila mtu awe na furahaUnataka kuwa na hela kama Mengi au?
wala hajiju, watu kibao wamepata wapenzi humu hadi kufikia kuoana. ni suala la muda tu.you will jiju yaani jeiefu ni mahala pakutafutia vimwana kereuwiii..
Sijaelewa ulicho andika..
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
nani anapenda mwanaume suruali siku hizi!!!!!!!
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
Hahaha naona ushavurugwa byeee....katafute hela acha kupoteza muda hapa online. ohooo ukweli haubadiliki kwamba men ndio bread winner. mie nakuachia hapa kwani nshaona wavurugaji walichakuchafua tayari.
yakufanya maisha yakawaida yaende bila kikwazo,watoto wasome shule nzuri na kila mtu awe na furaha