Nime-comfirm vyuo viwili, nitapata mkopo?

Nime-comfirm vyuo viwili, nitapata mkopo?

scriptwritter

New Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
3
Reaction score
2
Wakuu nilichaguliwa kwenye multiple, cha kushangaza jina naliona chuo kimoja na vyuo vingine silioni kwa vile ilikuwa mwisho tar 18 kukomfem nilituma kwa njia ya SMS kukomfem na walinijib welcome.

Sasa kumbe Mzumbe kuna majina yalikuwa yanasumbua mojawapo ni langu wakanipigia wakanielewesha nikawaambia nakipenda Mzumbe lakini kule nimekomfemu wakasem wewe tuambie kama unakuja hiyo isikupe shida.

na kwel Jumatatu wamenitumia admission latter Mzumbe lakini nilipojaribu kuingia kwenye kile chuo kingine account yao ilihitaj nikomfemu hapa inakuja maana mkopo nategemea. Je nitapata maana nimetolewa multiple second round msaada.
 
mzumbe wameweka watu kwenye list ya walioconfirm kumbe hawajaconfirm.... hii ni hatari sana. tcu kwenye list ya walioconfirm zaidi ya chuo kimoja vyuo au wanafunzi wenyewe waamue.... na ikiwezekana wanafunzi waachwe mpaka wareport....
 
Back
Top Bottom