Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Mwanamke hapigwi,anapewa hela
Mateke na ngumi sawa. Jamani hata makofi nayo hairuhusiwi ???. Nini lakini jamani...mbona tunafanyiana hivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Shaabash!!!!!!!!!!!!!!Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua
Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.
MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu usije uwa mtu taratibu diplomasia inahitajika kuliko ngumiMateke na ngumi sawa. Jamani hata makofi nayo hairuhusiwi ???. Nini lakini jamani...mbona tunafanyiana hivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Shaabash!!!!!!!!!!!!!!
mkeo ukimkuta anababduliwa mpe pole kisha muombe msamaha kwa kufika eneo la tukio
ndio maana nikasema muombe msamaha kwa sababu wanawake hawakosei
ndio maana nikasema muombe msamaha kwa sababu wanawake hawakosei
sijakataa
Hongera kwa babu,, alichokufunza kitakusaidia maishani.Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua
Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.
MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni she or he?Hongera kwa babu,, alichokufunza kitakusaidia maishani.
LOVE IS NOT A BATTLEFIELD
Kabisaaa kwa hapo tu,, maana hajaolewa na pesa,
she
SIKU UKIISHI NAE HATA SIKU MBILI NDO UTAJUA,Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,