Nilochojifunza kwa babu kuhusu wanawake, mwanamke hapigwi Ole wako umpigae mkeo,

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua

Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.

MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mateke na ngumi sawa. Jamani hata makofi nayo hairuhusiwi ???. Nini lakini jamani...mbona tunafanyiana hivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Shaabash!!!!!!!!!!!!!!
 
Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua

Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.

MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa babu,, alichokufunza kitakusaidia maishani.
LOVE IS NOT A BATTLEFIELD
 
Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua

Swali kwenu wanaume kwanini mnawapiga wanawake? Babu yangu ameni hasa wanawake hawapigwi bali wanabembelezwa.

MKEO AKIKUKOSEA MUOMBE WEWE MSAMAHA NAKUAMBIA HATORUDIA TENA LILE KOSA.

Sent using Jamii Forums mobile app
SIKU UKIISHI NAE HATA SIKU MBILI NDO UTAJUA,
SAIVI ENDELEA KUSIMULIWA
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom