Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,169
- 55,269
Kule tulikua tunapita shadidi, aisee Kuna afande Moja tulikua tunamwita Trump, alivo trump na alivo yy sema trump kazeeka....pale tulifeka pembeni ya mto ruvu...yaan tangu asubuh ni kufeka tu Hamna kupumzika baada ya kuona mtiti umekua mkali tukajificha kwenye majani flan marefu trump kuona watu hawapo akawasha moto tukatoka nduki tulikuja kudakwa wote!Huko sijawahi pangwa mkuu yani kwa kifupi kitengo cha mifugo sijawahi kuwa na zali nacho ni siku moja tu nilipangwa kule poultry kuokota mayai ya kuku basi, mimi shamba langu lilikuwa kule jkt club karibu na barabara ya kwenda mikoani, tulikuwaga tunanunua vitafunwa kule kule mtu unarudi kikosini ushashiba zako
Mambo ya tbt kidogo rafiki yangu!Last born wa mama Shirima 😂
Ulifanikiwa?Katika ndoto yangu...Ilikuwa niwe mjeda
Napenda sana.
Basi tu.
Usinambie ulikuwa unasimamisha na kukwea sana minazi 😹Aikoooo! Unakikwepa sana kipengele cha minazi tunakisubiri wa Op
Uonevu mkuu 😚Basi tunatofautiana maana ya madeko.
Kwangu hayo yote uliyoainish hapo ni madeko.
oohHio ni oljoro kutoka dar hadi Arusha ni masaa 8 9,akishuka stand achukue bajaji za kuwapeleka kilombero stand akapande hiace za oljoro
morombo...!Oljoro wanapitia mrombo/ Njiro- atomic?
Hivi uliwakutaga akina, Mayanga, Kwaro, Baba Hans, Humphrey Mwandenuka, Sulley, MwamasangulaKule tulikua tunapita shadidi, aisee Kuna afande Moja tulikua tunamwita Trump, alivo trump na alivo yy sema trump kazeeka....pale tulifeka pembeni ya mto ruvu...yaan tangu asubuh ni kufeka tu Hamna kupumzika baada ya kuona mtiti umekua mkali tukajificha kwenye majani flan marefu trump kuona watu hawapo akawasha moto tukatoka nduki tulikuja kudakwa wote!
Jioni tulikabidhiwa kwa afande Moja anaitwa juma [emoji16]anaongea kisela ila jamaa ni shetani yule usiku kucha ni kubebana, ni kuimba kukimbia aisee tulikua makuruti ya demo
samahani kama nimekukwaza mkuu...🙏🙏🙏Tatizo lako utoto unakupa shida.
Hivi umeona kuna sentence imeambatana na hayo maneno? Kwa kuwa umepita JKT basi umekuwa mmiliki wa misemo ya jeshini sio? Kuna sehemu mtoa mada kasema tu comment mambo ya siku hizi? Pole sana dogo ujuaji utakuponza.
WeDada angu alienda ya kujitolea naona karudi mzuri vile vile 1.5yr ,Mungu amjalie apate hitaji la moyo wake anapenda sana Jeshi .Aliangua kilio siku ya usahili alivyoambiwa vigezo havijatimia vyeti vilichelewa kumfikia siku ya usahiliĺ.
Kwahyo wewe kuna service man alifanya yakeSEHEMU YA 13
MAOKOTO
mwanzoni kuruta wote tulipewa kopo la uani na sanitizer sisi tukajua ni upendo tunapendwa sanaaa na bakabaka.
Mwisho wa mwezi ukafika kuruta njoeni kuna maokoto yenu jeshi tunawapa iwasogeze siku.
Tumekaa kombania bakabaka kashika burungutu mimi jina langu ni herufi ya mwanzo kwahiyo hela nilikua napewa wa kwanza
Nikaitwa jina nikaenda nikapewa hela halafu nisign, nikapiga jicho kwenye amount iliyoandikwa ni tofauti na niliyopewa, nikimaanisha nimepewa nusu ya hela.
Wote tukapewa tukaanza kuulizana vipi mbona tumepewa hela nusu?
Bakabaka akatuambia "Mlivyokuja mlichukua makopo yetu na sanitizer mlidhani tumewapa bure?"
Ikawa kila mwezi tunapewa maokoto nusu kisingizio ety tulivyokuja walitupa makopo na sanitizer zao!😄
NADHARIA YA WANAJESHI KUTEMBEA NA KURUTI
NIilivyotoka nyumbani usia ulikua kua makini huko wajeda sio watu wazuri!
Nikiri kwa nilichokiona WANAJESHI MNAWASINGIZIA!
Labda kama hiyo tabia ipo kambi zingine lakini kambi niliyokuepo mimi wanajeshi walikua wanajiheshimu sana.
Hawakua hata hivyo kusema wanatusumbua kuruta hapana.
Ila wanaoharibu sifa ni wale service man, wale ni vichomi kazi nyingi tunakua nao hivyo wanachukua nafasi hiyo kupenyeza nia yao ovu.
Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Mzazi usiogope mtoto kwenda kwa mujibu, faida ni nyingi kuliko hasara
"If it's bitter at the start, then it's sweeter in the end"
We
Kwahyo wewe kuna service man alifanya yake
Mm kambi niliyo kuwepo kama kwa kudeka kwako huko wengekukula mapema sana ili upate kitonga other wise usiwe mzuriii
acha uongo...🤣🤣🤣MImi sio wa hivyo.
Hakikisha inakuwa ndefu kama ya insider man bila kusahau kuandikaSijui hata story ndefu ila naifupisha siunajua next week kuna ubusy wa class
Mimi nina uwezo wa kukuoaHapo ushajidhihirisha kuwa u poyoyo tu.
Kwahiyo ephen_ ilikulazimu umpe tunda service man ili kukwepa adhabu? Na hiki ndiyo kinatisha wazazi na wale wote ambao hatujaenda jeshini. Kuwa kuna tabia mbaya.Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.