Huyu macho yake yanatazama nyuma tungoma
Ile beki Chamou mkitupangia siku ya derby Mzize na Dube watajinoma sana.
Nadhani kuna umuhimu wa kumchezesha Mpanzu kama 10 halafu Mukwala na Ateba wawe wanacheza pamoja. Ahoua ukiacha penati zake ni mzinguaji tu.5. Mukwala kiwango cha leo nafikiri ndo straika anatakiwa kua hivi nafasi hiyo hiyo anakumaliza sio kama ateba amekua anafanya mechi chache zilizopita
6. Mutale kwa mbaliii anaanza kurudi nafikiri akipewa muda anaweza kuimprove zaidi ahoua nasemaga siku zote tuna naomba 10 ambaye kipaumbele chake ni kufunga ambaye anasubiri fouls na penalties na si kuchezesha straika wake Simba wanatakiwa kua makini katika hili
Maneno haya uje uyarudie tar 08Sawa Utopolo..!Lzm ucomment hapa kwamba na sie tupo!
Kinachowauma sasa ubingwa ni kama vile Upo rehani.!
Na pia Kimataifa mmegota Makundi..hamjatoboa robo..
Yaani mpaka mwakani..! Inaumaje..?
Next Season, Usajili consider age p'se!
Amka ukakojoe wewe, utajikojoleaKinachowauma sasa ubingwa ni kama vile Upo rehani.!
Nimecheka kama mazuri, hiki kikosi chako hakina balansi kitapigwa hadi kichakae.Nadhani kuna umuhimu wa kumchezesha Mpanzu kama 10 halafu Mukwala na Ateba wawe wanacheza pamoja. Ahoua ukiacha penati zake ni mzinguaji tu.
Kwa sasa first 11 ya Simba inatakiwa kuwa. Hiki ndiyo kikosi cha kuipa Simba ubingwa msimu huu.
1. Camara
2. Kapombe
3. Nouma
4. Malone
5. Hamza
6. Kagoma
7. Kibu
8. Fernandez
9. Ateba
10. Mpanzu
11. Mukwala
Mutale angetolewa kwa mkopo dirisha dogo akaletwa striker wa kusaidiana na kina Ateba.
Mtani ndo nimejua kumbe kikao cha mwisho sikuwepo, kumbe kwenye kikao mliamua uto haturuhisiwi kucomment nyuzi za mbeleko fc?Sawa Utopolo..!Lzm ucomment hapa kwamba na sie tupo!
Kinachowauma sasa ubingwa ni kama vile Upo rehani.!
Na pia Kimataifa mmegota Makundi..hamjatoboa robo..
Yaani mpaka mwakani..! Inaumaje..?
Next Season, Usajili consider age p'se!
Yule wa kuacha dirisha kubwaMutale ni Mchezaji mzuri atengenezwe tu kisaikolojia na aendelee kupata game time.