Niliyemtoa Hakamatiki!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Jamaa kaja gheto kwa jicho la kulaumu tu, analalamika namna ambavyo siku hizi mke wake amebadirika
Amekuwa ni mtu wa kurudi overtime yaani kiufupi haeleweki
Hakika jamaa anayo haki ya kunihoji kwa lawama kwani mimi ndie niliyefanya mpango mpaka shemeji akapata kazi inayomfanya kuonekana tofaauti ktk ndoa yake!

Ni Jamaa yangu aliyenifanya niiweze Town,kipindi kile niko shakarabagara...
Baada Ya Mida Si kujifanya nami mishe za Town naziweza, vilevile kurudisha fadhira kwa Jamaa, nikamshauri Amruhusu mkewe awe na kazi ya kufanya(wakati niliiona nafasi ktk kampuni moja hapa TOWN na mkewe alikuwa mtu wa nyumbani tu)
Basi jamaa kiroho safi,akaniruhusu nimfanyie mpango mkewe, nami nikafanya kweli mama akaanza kuendesha gurudumu la maendeleo hapa TOWN.
Sasa najuta kwani jamaa anahisi bosi wa hiyo ofisi anamkwangua mkewe, kwani mara nyingi amekuta ujumbe wa kumsifu mkewe kwa kazi zisizoeleweka, mbaya zaidi mpaka usiku wa manane!

Wazee..TOWN imenielemea mwenzenu kwani moja kwa moja jamaa anahisi mimi ndie nina mpango na bosi, kitu ambacho si kweli!
Nifanyeje?
 
mwambie amwachishe kazi awe mama wa nyumbani....so ndo role yake??? kukaa homu kutunza watoto na mume???
 
mwambie amwachishe kazi awe mama wa nyumbani....so ndo role yake??? kukaa homu kutunza watoto na mume???

Mama nae kakaza eti mama na maendeleo, hataki kukaa nyumbani!
 
mie nimesema hivyo kwani huyo mwanaume anaonekana hatki mkewe afanye kazi...so kuepusha malumbano amwambie aache kazi ili ashine nyumbani akimsubiri mumewe arudi everydy...ila awe na uhakika wa kuprovide kila kitu kwa mkewe siyo amwachishe kazi ilhali ye mwenyewe hali yake kiuchumi ni tia maji...
Mama nae kakaza eti mama na maendeleo, hataki kukaa nyumbani!
 

Usemayo ni kweli, mama sasa anashyn hapa TOWN Tofauti na mwanzo
Ila ndo hivyo kakaza.kuacha kazi Hataki!
Itabidi nifanye mpango nimuaribie, ili kazini kusikalike!
 
weeeh acha mawazo yako potofu...ni dhambi dont do that waache wenyewe washughulikie ishu zao ....
Usemayo ni kweli, mama sasa anashyn hapa TOWN Tofauti na mwanzo
Ila ndo hivyo kakaza.kuacha kazi Hataki!
Itabidi nifanye mpango nimuaribie, ili kazini kusikalike!
 
Mwambie afanye uchunguzi kwanza kabla ya kutoa tuhuma!

Sababu kufanya kazi au kutofanya kazi si kigezo pekee cha kuasliti au kuto saliti mtu, maana anaweza aka muachisha kazi alaf akaenda kufanyia ufuska hapo nyumbani!

Zaidi ya hapo naona jamaa ana sumbuliwa na tatizo la wivu na kuto muamini mkewe!
 

Mkuu kwa mujibu wa maneno ya jamaa,anadai mambo yako wazi!
 
Dawa hapo ni kuwakata videvu wewe na huyo boss.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyo jamaa mawazo yake ni bogas::::::;; mke kubadilika baada ya kupata kazi ni kawaida
 
Mwambie hata akirudi kuwa Mama wanyumbani atakwanguliwa tu...mambo siku hizi yamebadilika
 
Mimi sihusiki kaka!

Wanaokwenda jela siyo wote wanahatia x2,
Wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa,
Wengine sawa sawia kweli watuhumiwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…