Niliwekwa ndani sababu mtu ali unconfirm chaguo langu tarehe 9 siku ya mwisho

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wadau habari zenu mimi mwenzenu kuna jamaa yangu alikuwa hapendi Mimi nichaguliwe chuo baada ya kumwambia nimechaguliwa basi hakuwa na amani Lakini juzi nilimwachia simu yangu aingie net.

Ajabu jana mida ya saa mbili nikalogin account yangu ya UDSM kuchek hivi nikashangaa inaniambia niconfirm tena dah nikaconfirm upya faster.

Basi night ile ile nikamsaka mshikaji na kumshushia kipigo cha kufa mtu

Night ile ile nikadakwa na kuwekwa sero ila nashukuru leo nimetoka nipo mtaani nikiendelea kuwasubiri HESLB wafanye yao.

My take katika kipindi hiki sio vizuri kulogout account zenu za vyuo
 
Wadau habar zenu mim mwenzenu kuna jamaa yangu alikuwa hapend Mimi nichaguliwe chuo baada ya kumwambia nmechaguliwa basi hakuwa na aman Lkn juz nilimwachia cm yangu aingie net
Ajabu Jana mida ya SAA mbili nikalogin ac yang ya UDSM kuchek HIV nikashangaa inaniambia niconfirm tena dah nikaconfirm upya fasterrr

Basi night ile ile nikamsaka mshikaj na kumshushia kipigo cha kufa MTU

Night ile ile nikadakwa na kuwekwa sello ila nashukuru Leo nmetoka nipo mtaan nikiendelea kuwasubiri HESLB wafanye yao

My take katika kipind hiki sio vzr kulogout account zenu za vyuo
Bora hata uende Chuo Ukakue
 
Wadau habari zenu mimi mwenzenu kuna jamaa yangu alikuwa hapendi Mimi nichaguliwe chuo baada ya kumwambia nimechaguliwa basi hakuwa na amani Lakini juzi nilimwachia simu yangu aingie net.

Ajabu jana mida ya saa mbili nikalogin account yangu ya UDSM kuchek hivi nikashangaa inaniambia niconfirm tena dah nikaconfirm upya faster.

Basi night ile ile nikamsaka mshikaji na kumshushia kipigo cha kufa mtu

Night ile ile nikadakwa na kuwekwa sero ila nashukuru leo nimetoka nipo mtaani nikiendelea kuwasubiri HESLB wafanye yao.

My take katika kipindi hiki sio vizuri kulogout account zenu za vyuo
Pole,ila kuna mijitu huwa ina roho mbayaaaa
 
Wewe kweli hamnazo, sio vizuri ku-logout au ndio unapaswa ili mtu mwingine asiweze kuingia?
 
Back
Top Bottom