Niliwaonya mnao-underestimate uwezo wa Rais Samia hamkusikia, sasa wacha dozi iwaingie mafisadi wa awamu ya 5

Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Yaani vichwa vyenu havina akili ya kuelewa. Watu wale wale kwa Dkt Magufuli waliogopa kuiba. Hao hao kwa Mama walishangilia baada ya kifo cha Dkt Magufuli wakijua sasa wataiba na ndiyo maana Mama anaelewa. Wizi ni attitude ya watu. Mfano Mh. Makamba ana akili za wizi wizi na kupiga dili, mh. dkt Mwigulu naye ni hivyo hivyo ana vinasaba vya wizi na dili. Hao wote lazima wamhujumu mama ili wapate cha kusema 2025. Watasuka mipango ya dili na kuiba na akiwaacha watamharibia sana. Labda kama atawathibiti.
 
Katiba hairuhusu.
Kwenye kuangushiana jumba bovu yeye alikuwa nani awamu ya tano, aache kutafuta huruma za wananchi kwa kisingizio cha kuangushiwa jumba bovu kwanza aanze na mshauri wake mkuu ambaye ufisadi ulitamalaki awamu yake.
 
Rais ni mswahili, haaminiki na haamini anachokisema. Yeye na mafisadi ni damu damu, pia ni mbaguzi
 
Yaani vichwa vyenu havina akili ya kuelewa. Watu wale wale kwa Dkt Magufuli waliogopa kuiba. Hao hao kwa Mama walishangilia baada ya kifo cha Dkt Magufuli wakijua sasa wataiba na ndiyo maana Mama anaelewa. Wizi ni attitude ya watu. Mfano Mh. Makamba ana akili za wizi wizi na kupiga dili, mh. dkt Mwigulu naye ni hivyo hivyo ana vinasaba vya wizi na dili. Hao wote lazima wamhujumu mama ili wapate cha kusema 2025. Watasuka mipango ya dili na kuiba na akiwaacha watamharibia sana. Labda kama atawathibiti.
Kwani nani katika CCM asiye mwizi, kuanzia juu hadi chini
 
Kuna Nini huko Tanzania
Magu alisema yeye ni kichaa na huchagua watu vichaa Kama yeye. Na bi Nonsense aliwahi kusema yeye na magu ni kitu kimoja Sasa hatujui Kama ndio kichwa kimepata Moto au Maria ya kawaida tuu.
Nileteeeni gwajimaaa.
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Huwezi mpoteza jiwe kizembe maendeleo wakati wake tumeyaona sana sana utaishia kupasuka msamba uchane Trak..o
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Jizi jingine hili
 
Uzuri wa Rais Samia hakurupuki, ni rais anayefanya uchunguzi kabla ya kuchukua hatua.
Uchunguzi gani hata hajui kama hizo bodi alishazibadili, hana kumbukumbu.
Ina maana hata ubadilishaji wa hizo bodi huwa analetewa taalifa yeye na kuwa badilisha na ndo maana hajui kama alishafanya mabadiliko huko.
 
Yaani vichwa vyenu havina akili ya kuelewa. Watu wale wale kwa Dkt Magufuli waliogopa kuiba. Hao hao kwa Mama walishangilia baada ya kifo cha Dkt Magufuli wakijua sasa wataiba na ndiyo maana Mama anaelewa. Wizi ni attitude ya watu. Mfano Mh. Makamba ana akili za wizi wizi na kupiga dili, mh. dkt Mwigulu naye ni hivyo hivyo ana vinasaba vya wizi na dili. Hao wote lazima wamhujumu mama ili wapate cha kusema 2025. Watasuka mipango ya dili na kuiba na akiwaacha watamharibia sana. Labda kama atawathibiti.
Waliogopa jidanganye
 
We want firm actions not just mere words. Such measures need be taken ASAP to minimize associated magnitutes of losses and destructions and they should be examplarily as per the pescribed laws. Otherwise it would be like a wind blowing every now and then.....
 
Rais Samia kula nao sahani moja
Ati wanazarau, ati wanakuona mpole, ati wanataka kukupangia cha kufanya ata wanakublack mail.

Rais Samia usiwaache wizi wa awamu ya tano lazima uwekwe hadharani na wafikishwe mahakama ya mafisadi na uhujumu uchumi.

Rais Samia usiwaache zile billion 180 za hazina, zile billion 90 za CCM, yale mabilio ya bandari, tanesco, zile billion 90 za chama na hazijulikani zilipo, zile tenda hewa. RAIS SAMIA tunataka waziteme

Tunasimama na Rais Samia
Rais Samia
#Kazi Iendelee
Naunga mkono Rais alichelewa Sana kuwashughulikia alafu walivyo wajinga wameanza kumchikoza wenyewe.

Sasa ngoja waone moto na wanasahau kwamba waliunda kundi ambalo halina mizizi ndani ya chama na bahati mbaya walikuwa wanamyenga Rais alipokuwa Makamu..

Mama lala mbele na hao wapumbavu usiwachekee,tunajua wengi ni matajiri wa kutupwa kwa pesa walizoibia nchi.

Leo hii Nchi inamadeni makubwa.sana kwa sababu ya upumbavu wao,wakijificha kwenye kichaka cha uzalendo na miradi mikubwa ,huko ndiko walikuwa wanapigia.

Tuko tayari kuwaumbua.
 
Kwenye kuangushiana jumba bovu yeye alikuwa nani awamu ya tano, aache kutafuta huruma za wananchi kwa kisingizio cha kuangushiwa jumba bovu kwanza aanze na mshauri wake mkuu ambaye ufisadi ulitamalaki awamu yake.
Hivi hujui katiba yetu inavyompq mamlaka Rais kama Mungu mtu?Samia angefanya nini enzi za utawala wa Jiwe ambaye kila kitu alitqka akifanye yeye huku Makamu wa Rais kikonekana kama cheo cha ceremonial tu.
 
Yaani vichwa vyenu havina akili ya kuelewa. Watu wale wale kwa Dkt Magufuli waliogopa kuiba. Hao hao kwa Mama walishangilia baada ya kifo cha Dkt Magufuli wakijua sasa wataiba na ndiyo maana Mama anaelewa. Wizi ni attitude ya watu. Mfano Mh. Makamba ana akili za wizi wizi na kupiga dili, mh. dkt Mwigulu naye ni hivyo hivyo ana vinasaba vya wizi na dili. Hao wote lazima wamhujumu mama ili wapate cha kusema 2025. Watasuka mipango ya dili na kuiba na akiwaacha watamharibia sana. Labda kama atawathibiti.
Makamba aliiba nini na wapi? Tupe ushahidi
 
Back
Top Bottom