Nilivyowamaliza masista duu kisa walkman

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,996
49,100
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 mzee alihamishiwa kikazi mkoa fulani kanda ya ziwa ,mkoa una atoto wakali balaa.
sasa mimi pekee mtaani kwetu ndio nilikuwa na kifaa cha kusikilizia mziki enzi hizo kikiitwa walkman sijui kama watoto wa dotcom mnakifahamu,hii ni ipod ya enzi hizo,unaplay cd na kuvaa headphone zako masikioni.humo ningesikiliza nyimbo za Tevin Cample,Mariah Carey ,Da Brat,TLC,Coolio,Roxete,Fugees etc
Kidude hiki nilikipata muda sio kabisa nadhani sababu ndio nilikuwa naingia kwenye balahe ya kwanza,kidubwana hicho kilinifanya nikawa nawapanga masista duu kama sina akili nzuri,walikuwa wakikiazima kusikiliza miziki nami nikaona hii ni fursa.sababu ya kukikumbuka hiki ki walkman ni baada ya kukutana na dada mmoja ambaye nilimuazima akaingia nacho mitini leo tumekutana kariakoo kawa mwanamke mzima kabisa na watoto wakubwa,nikamkumbusha walkman yangu akaishia kucheka tu huku mtoto wake akinikazia macho,namshukuru huyu mama kuniingiza walkman yangu mjini labda ukimwi ungeniua
 
wewe kweli mdukuzi
 
Back
Top Bottom