Mwananchi wa kawaida hajawahi kupata shida katika tawala zote zilizopita kama shida anazopata katika utawala wa Magufuli lakini pamoja na shida zote anazopata hatakiwi kulalamika,akilalamika anaambiwa alikuwa amezoe vya bwerere.
katika utawala wa Magufuli hata kama unaumizwa hutakiwi kusema unaumia unatakiwa kupongeza kwa kusema sawa mzee unafanya vizuri.