Nakataa kwwani huo ni uongo mtupu! <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20103" target="_blank">Preta</a></b> wangu ajafikia huko ni mtu waviwango nimekaanaye takribani miaka 10 haiwezekani awe ameshuka kwakiasi hicho wewe mleta uzi twambie una conflict of interest siyo bure!Hatuendi hivyo anziambali sasa wewe una attack??<b> <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34132" target="_blank">Baba V</a></b> </b>sikuhizi kama umechanganyikiwa tukutafutia mzee wa upako maana uko kama bis kwenye kikaango <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=80055" target="_blank">Madame B</a></b> njoo saidia huyu mtu amekuwakam Raila!