Nilivyomkuta Preta Yaeda chini...

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Kwani ye ujinga anataka...!?

Attachments

• FacebookHomescreenImage.jpg
14 KB · Views: 601
Preta yuko busy na JF

Uli mpatia kwelikweli ulipompiga hiyo picha...

I love JF........

If you have crazy friends you're crazy too...lol, I love Jf and you....

Nakataa kwwani huo ni uongo mtupu! Preta wangu ajafikia huko ni mtu waviwango nimekaanaye takribani miaka 10 haiwezekani awe ameshuka kwakiasi hicho wewe mleta uzi twambie una conflict of interest siyo bure!Hatuendi hivyo anziambali sasa wewe una attack?? Baba V sikuhizi kama umechanganyikiwa tukutafutia mzee wa upako maana uko kama bis kwenye kikaango Madame B njoo saidia huyu mtu amekuwakam Raila!

Last edited by a moderator:
Na hiyo picha ni kwa hisani ya Bujibuji...

huyu Bujibuji na picha zake za utata.. kwanza anapiga picha bila ya ridhaa.. halafu anawavizia wake za watu na kuwapiga picha katika mazingira ya kutengeneza ugomvi.. naomba ulizingatie hili Mwenyekiti Baba V..

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…