Nilivyo ibiwa kimaajabu

Nimesoma yote. Aisee pole sana mkuu. Dah nimeshtuka hapo mwisho kumbe jamaa hakuwepo hata duniani. Pole sana kapumzike bi mkubwa atakupa faraja. Ukishatulia utaanza upya mapambano. You will rise again.
 
Unataka mtu kama mimi niamini hii simulizi ya alfu lela ulela?
 
Kwenye shida na walevi wanakumbuka kuita yechu yechu 😂😂
 
Mkuu Setfree zungumza jambo bibiye
 
Mkuu,hapo umejifunza kitu,msomi mwenye degree hawezi kutapeliwa kipumbavu hivyo.

Wewe ni mweupe sana kichwani. Kwanza kitendo cha kumaliza chuo usirudi home ni upumbavu.

Pili,kazi gani ambayo inahtaji 7m ili uipate?

Tatu, kapambane nyumbani kwani yaliyopita si ndwere ganga yajayo.
Usirudi kabisa jijini labda utakapopata ajira rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…