Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,314
- 152,113
Hapa mtandaoni imeletwa taarifa kuwa Mahakama ya Kisutu imekanusha kutoa amri ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar-es-salaam.Kama taarifa hii ni ya kweli, ni dhahiri CCM wamefanya haya wakijua tutaishia kutoa matamko ya kulaani bila kufanya chochote.
Kama haitoshi,hivi sasa wabunge wa UKAWA wa mkoa wa Dar-es'salaam wanakamatwa wakijua tutakaa vikao na kuja na tamko la kutaka Polisi kuacha kuwakama na zaidi tutaishia tu kulaani vitendo hivi.
Hivi tukitoa matamko ya kulaani wao wanapungukiwa na nini?Tangu UKAWA waanze kutoa matamko ya kulaani,tume-achieve nini kupitia matamko hayo?Huu ni udhaifu ambao hawa jamaa wameugundua na wanaotumia vizuri sana kutuhujumu.
Je,unajua ni kwanini hawashituki?Jibu ni rahisi sana nalo ni kuwa,hatuna viongozi wenye guts kama za kina Godbless Lema.
Angalizo:
Kwasasa ni kama tumechelewa na tukisema tuvae viatu vya watu kama kina-Godbess Lema,tunaweza kujikuta siku ya kumchagua Meya wengi wetu tukawa sehemu tofauti kabisa na tukashindwa hata kupiga hiyo kura yenyewe maana tutakuwa tumewapa sababu ya kufanya yao.
NB:
Godbless Lema nimemtumia kama mfano tu maana naamini wengi wetu mnaelewa guts na misimamo ya huyu mh.