unaorodhesha ili iweje sasaNikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
kumbe hao ni wake zakoKwani mfalme Sulaiman....idadi ya wake zake imerekodiwa ili iweje sasa?
du!! sikililiza wimbo wa ferouz!!Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Maning’ining’iWapua ndio nini?
Aliyeniweka duniani ana kusudi....Kuna jambo natakiwa nilitimize kabla ya kumaliza safari katika dunia hii
Una kichwa kizuri nakusifu kuwakumbuka malaya zako wote na kuwatag!Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala nilipofanyia UZINZI.
Nikachukua kalamu na karatasi na kuanza kufanya hesabu....mpaka Sasa nimefikia 126 na bado naendelea kukumbuka.....
NOTE BEFORE:
hapa nimewajumuisha dada poa.
Amina mtumishi. Amen.Muombe Mungu akusaidie usizikumbuke dhambi zako. Maana yeye mwenyewe amesema akitusamehe dhambi zetu ndio imetoka hiyo wala hatokaa azikumbuke tena. Sasa wewe kwa nini ujitese kuzikumbuka kumbuka?
Isa 43:25 SUV
Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.