RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,495
- 1,706
Ngoja waje kukupa mwongozoWakuu vipi,
Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple.
Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit.
Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo .
Ambaye ashawai kufanya Video curating anipe uzoefu.
Ni kampuni kutoka Philippines.
Ni kamputi ambayo ime base na Artificial intelligence.
Karibu.
Chalii nae analialiaHustler89 njoo uku mwezako haki kazi
No ni serious job kabisaMhj Philippines nanusaga upigaji
Haaaa lazima uwe na ka ujuziSI utaelekezwa na wao wenyewe?
CoolTitle siko motivated, kumbe huna ujuzi wa kazi. Jf bwana.
Watanzania mnawaza wizi tu, Careerjet ni platform kubwa sana, na nimeona hiyo kazi ni ya kweli kabisa,,,we unawaza wizi.co.tz? Hao wabongo wenzako sio muda unaelekea kibra!
Sawa piga kazi mzee!Watanzania mnawaza wizi tu, Careerjet ni platform kubwa sana, na nimeona hiyo kazi ni ya kweli kabisa,,,we unawaza wizi
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Unasubmit wastani wa link ngapi kwa siku?No ni serious job kabisa
60Unasubmit wastani wa link ngapi kwa siku?
πππRUKUKU umekuwa RUBATA MZINGA