MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Kama uliiokotea Dodoma au maeneo wanayopita wakubwa itakuwa ya yule mheshimiwa ambaye umaarufu wake umechuja kwa ghafla baada ya kuipoteza hii kitu, gombea ubunge, ila unatakiwa uivae kiunoni.
Mkuu fanya mpango uwe unaikodisha, maana mwezi wa saba ndo muda wa fazahousi alafu mpango haujakaa sawa.
Unaweza kuniazima mkuu MstahikiMeya niitumie siku moja tu kuoshea jina!
Mkuu jiesabie miaka 5 kwisha habari yko au unipe mimi niwarudishie wenye nayo
bangi na viroba hadi mwezi mtukufu!!!?
Inawezekana kabisa mkuu lakini kitakachotokea ni baadae kumlipa huyo
anayesababisha hayo yote yatokee, na huna ujanja kwa kuwa ushaanza kula
lazima utamlipa na hakuna lingine zaidi ya damu yako.
Yaani hiyo kama utaitumia muda mrefu kabla ya kifo chako ni miaka mitano
tu haizidi hapo na inaonesha kuwa aliyekuwa anaitumia tayari kishaondoka
hivyo ndugu waliamua kuibwaga hapo ulipoiokotea ili hili balaa lihame upande wao.
Mkuu inabidi tuongee chemba hii ishu
bangi na viroba hadi mwezi mtukufu!!!?