Nilimsikia akimwambia...!

Mie naona ni hasira za mkosaji,

Kwani kutofikia vigezo vya mtu ni dhambi??

Huyo dogo alisahau kuwa binadamu siyo mbwa au simba, ambao ukiwa lofa ndo unakufa bila kuacha uzao!!


Babu DC!!
 
Single n Happy; a highly romantized phrase............

It depends how you look at things!!!!!!!! For me a single woman is more happy because she is still hoping and there is still a chance for her to get lucky!!!!!!!!!

With Marriage!!!!!! THE GAME IS REALY OVER!!!!!!!!! All hope is lost!
 

Oh mai...........!!!! lara 1 imenilazimu nikutafutie uzi hu niliowahi kuuandika sometimes kitambo:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/302831-mwanamke-unapomkataa-mwanaume-umwonaye-kwa-jicho-la-kwanza%85%85%85.html

Katika uzi huo kulizuka mjadala mzito kidogo ambao unafanana na huu mkasa uliompata huyo jamaa hapo juu.
Ukweli ni kwamba ni vyema sana, "vigezo na masharti kusingatiwa" na si kwa wanawake tu, bali pia kwa wanaume lakini wanaume hawaumizi kichwa sana kama ilivyo kwa wanawake

Nimeshuhudia visa vingi sana vya wanawake kuwakataa wanaume kwa kujiwekea vigezo vigumu kupindukia, na wanapotahamaki kwamba umri umeenda na wanaume hawawataki tena na hapo ndipo hujisemea, "akija mwanaume yeyote sina budi kukubali naona nazeeka sasa..." na wengi huishia katika mikono isiyo salama huku wakishuhudia wale waliowakataa wakiwa na ndoa imara kiasi cha kuwatamanisha na mara nyingi majuto ni mjukuu............

Wekeni vigezo lakini viwe reasonable........................
 
Last edited by a moderator:
Swadaktaaaaaaaaaaaaa, jamaa aliamua mpasulia jibu la ukweli huyo bidada............!! Watu wanaweka vigezo viiiiiiiingiiii utadhani unaomba mkopo loan bodi

vigezo ni lazima huwezi tu kuchukua mtu tu eti kwasababu ni mwanaume, kama hajameet cretaria zako basi wewe uchukue tu , Khaaaaaaaaaaaaaaa wapi!!!!!!!
 
Hayo yalikuwa ni maneno ya Mkosaji, maana haishi kutapa tapa, je angemkubali angetoa hayo maneno? na hasa nyinyi wanaume kaka Mtambuzi ndivyo mlivyo mkiona demu hakutaki basi mikasfa kibaooooooooooo! mbna sisi huwa hatuwatukani?
 
Hayo yalikuwa ni maneno ya Mkosaji, maana haishi kutapa tapa, je angemkubali angetoa hayo maneno? na hasa nyinyi wanaume kaka Mtambuzi ndivyo mlivyo mkiona demu hakutaki basi mikasfa kibaooooooooooo! mbna sisi huwa hatuwatukani?
“Your standards are ridiculous. The man that you’re holding out for doesn’t exist. You are going to die old, lonely, and bitter!”



Asa Lisa kwani braza kamkashifu mtu hapo? nadhani alikuwa anamkumbusha bidada asahau kidogo zile za My Prince Charming, Heaven Sent, Happy Ever After and stuff and stuff...maana mifano tushaiona sana wadada zetu wengine washaolewa in a deadline cus time imeflush huku urembo ukiwaacha 100 miles behind...
 
"It depends how you look at things!!!!!!!! For me a single woman is more happy because she is still hoping and there is still a chance for her to get lucky!!!!!!!!!

With Marriage!!!!!! THE GAME IS REALY OVER!!!!!!!!! All hope is lost!"

Right there with you.
Though I hate being single but I'd rather suck it up than lowering my standards and be with someone I know for sure will make me miserable down the road!
I believe I am responsible for my own happiness.
 

Mmmmh unajua kuna wadada wanafikiri kwa akili zao tu,mimi ushauri wangu kwa lara1 na wengineo kama yeye,"Jitathmini,kama wewe imani yako na mwenendo wako ktk kufunga na kuomba ni less than 90% utapokea hivo kiduchu,hutampata kamwe,utaishia kuwaona kwa wenzio na kuibia au kideoni" kutamani na kuamini ni tofauti,kutamani waweza mtamani hata Ronaldinho gaucho bt kuamini yahitaji some effort ili ile imani iwe materialised,sio ashuke kama mvua tu"
 

Hahahaaaaa! Huu ushauri wako wape watu kijijini kwenu ndo unawafaa!!!!!!!

Kwa taarifa yako nisataka kutolewa mahari mara 2 na watu wa 2 tofauti nikagomaaaa! Mambo hayo hayo ya kujifunga na mtu mmoja wkt kuna bora zaidi yake kibaoooooo!!!!!! Kisa cha kunifuja ujana wangu? Mimi mwenzio sina pressure! Ili niolewe na mtu lazima awe kajikamilisha kweli kweli!!!!!!

NB: Hao waume za watu 80% naoaga wadada wamefanya blander na it was a big mistake!!!!! They could have done better!!!!!!! Mi ningekuwa wao nisingekubali!

Raha ya ndoa vigezo vyako viwe vimetimia sio kutimiza wajibu tu!
 
Heheeeehhheh!!!
Huyo mdada alikuwa na dread zina bleach kwa mbali ivi?hmmmm@Mtambuzi
 
Hahahaha,hitaj lako liko sawa na jinsi wewe ulivyo?isije ikawa unandoto za kupata kitu kama CR wakati level yako ni bahanusi!

Happy new year,cheers!

Afu baada ya kutoka mkesha utakuwa wapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaha,hitaj lako liko sawa na jinsi wewe ulivyo?isije ikawa unandoto za kupata kitu kama CR wakati level yako ni bahanusi!

Happy new year,cheers!

Afu baada ya kutoka mkesha utakuwa wapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaaaaa! Hujagundua self comfidence ya mtu inaendana na physical appearance??????? Mi church leo siendi ntaenda asubuhi!

Vidada vizuri ndo vina nyodooo! Na uglies wakarimu hao! Au tuonane uhakikishe?
 
Waoooo,any way ni mtazamo tu kila mtu na mtizamo wake na vigezo vyake ,kila mtu atampata mwenye vigezo vyake bt kumbuka kumpa mola nafasi yake kuthibitishia maono yako kuwa hujakosea hapo tu hapaitaji PhD Kufikiri....kujua uthibitisho mtu ataupataje.
Mi nawakilisha maoni ya kwetu kijijini huku Iponana bholo-Mwandoya.
 
Mtambuzi hizi picha huwa unazitoa wapi aisee?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wapo ambao baada ya umri kwenda hata salamu hupati tena,wana wish wangempata tu wa kulala nae na wa kuamka nae,ili mradi aitwe husband.wapo walioingia kwenye ndoa na wanawaona wanaoishi maisha ya single life ni watu wenye bahati,wanayajutia maisha ya ndoa.wapo waliochagua wee baadae kukawa hakuna kuchagua tena waliowakataa kwa kuwahisi sio vigezo vyao,baada ya miaka kadhaa hao waliokataliwa wanakuwa na maisha mazuri tu.na hao waliowakataa wanajigonga kwao tena,inakuwa too late.maisha ni kama game ni vizuri ujue jinsi ya kuishi maisha yako
 
there qualities you can look for in a man but always the search for a perfect man will never end, we may know this but we may still pretend we do not; there is no such thing as a perfect man
 
Wanawake wengine wana masharti kama vigagula...jamani eenh mwanaume lake dushelele tu kama linakamua fresh vingine hivyo mapambo tu kama magari yapo Japan eboh!!!
watu8 wanchekesha lol.

Vigezo na masharti lazima vizingatiwe ati... Unakuwa na mtu unashindwa hata kumtambulisha kuwa ni mwenzi wako akuuuu.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…