kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 308
- 853
Ndio aiseeAnakushukuru Hadi leo!!?
kwamba nilimla tena hahahaMalizia na stori ya kumla kimasihara
Hapana sijazaliwa ArushaWewe umezaliwa Arusha?
Malizia na stori ya kumla kimasihara
Kahawa ya Shamba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndio aisee
Ni kweli kabisaMungu akulinde siku zote za maisha yako huyo Dada ni mtu safi ndo Mana Mungu alikutumia huenda hata wangemua
Uliza iyo mitaa utaambiwa matukio yakeKahawa ya Shamba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Shift ya usiku haiishii asubuhi?Ilikuwa Saa 8 inaenda saa 9 usiku, weekend, nimekaa zangu Getto usingizi sipati nikasema ngoja nitoke niende town.
Basi bhana nikaenda club moja hivi inaitwa The Boss ipo Mianzini Mataa (Arusha), wenyeji itakuwa wanafahamu hicho kiwanja.
Bhasi nimezuga zuga hapo saa 8 inaenda 9 nikaondoka. Basi bhana nimefika maeneo fulani wanaita Sakina Triple A kwa juu kidogo wanaita Manguruweni karibu na White Rose bar, kuangalia mbele naona machalii wanne wapo wamepaki bike (toyo) pembeni wanasubiria mwenzao atoke waingie wengine.
Nilipofika yale maeneo nimeshangaa usiku hivi mbona bike ipo imepaki bila mtu halafu gafla nasikia kama kelele kwa mbali, aisee naangalia vizuri kwa mbali kidogo wale jamaa mmoja aliniona wakashituana chapu wakawasha bike wakakimbilia roughroad inapanda kwa juu huko.
Kumbe ile sauti ni mwanamke aisee, chapu akanikimbilia kunishika kabisa analia, aisee ilikuwa so. Basi nikamchukua, nikamuuliza ilikuwaje hadi usiku huu unatembea?
Akaniambiya alikuwa anatoka kazini alikuwa kaingia night, kwahiyo boda aliyopanda hela ilipelea wakamtua hapo, kwao kutoka lilipotokea tukio ni kama dakika 10 hivi, kuna kanisa kubwa jipya huko mbele ndiyo mitaa yao.
Nikamwambiya nakupeleka kwenu, akawa hataki. Yaani anaogopa bado, lakini nilifanikisha. Hadi leo huwa ananishukuru sana.
Tukio lilitokea mwaka 2021.
..Kwa nni umechelewa kutusimulia?tangu 2021?Ilikuwa Saa 8 inaenda saa 9 usiku, weekend, nimekaa zangu Getto usingizi sipati nikasema ngoja nitoke niende town.
Basi bhana nikaenda club moja hivi inaitwa The Boss ipo Mianzini Mataa (Arusha), wenyeji itakuwa wanafahamu hicho kiwanja.
Bhasi nimezuga zuga hapo saa 8 inaenda 9 nikaondoka. Basi bhana nimefika maeneo fulani wanaita Sakina Triple A kwa juu kidogo wanaita Manguruweni karibu na White Rose bar, kuangalia mbele naona machalii wanne wapo wamepaki bike (toyo) pembeni wanasubiria mwenzao atoke waingie wengine.
Nilipofika yale maeneo nimeshangaa usiku hivi mbona bike ipo imepaki bila mtu halafu gafla nasikia kama kelele kwa mbali, aisee naangalia vizuri kwa mbali kidogo wale jamaa mmoja aliniona wakashituana chapu wakawasha bike wakakimbilia roughroad inapanda kwa juu huko.
Kumbe ile sauti ni mwanamke aisee, chapu akanikimbilia kunishika kabisa analia, aisee ilikuwa so. Basi nikamchukua, nikamuuliza ilikuwaje hadi usiku huu unatembea?
Akaniambiya alikuwa anatoka kazini alikuwa kaingia night, kwahiyo boda aliyopanda hela ilipelea wakamtua hapo, kwao kutoka lilipotokea tukio ni kama dakika 10 hivi, kuna kanisa kubwa jipya huko mbele ndiyo mitaa yao.
Nikamwambiya nakupeleka kwenu, akawa hataki. Yaani anaogopa bado, lakini nilifanikisha. Hadi leo huwa ananishukuru sana.
Tukio lilitokea mwaka 2021.
Tukio limetokea 2021, leo ndiyo unaliripoti. Wewe unabidi ukaisaidie polisi kwa kuhusika kwenye mtungo.Ilikuwa Saa 8 inaenda saa 9 usiku, weekend, nimekaa zangu Getto usingizi sipati nikasema ngoja nitoke niende town.
Basi bhana nikaenda club moja hivi inaitwa The Boss ipo Mianzini Mataa (Arusha), wenyeji itakuwa wanafahamu hicho kiwanja.
Bhasi nimezuga zuga hapo saa 8 inaenda 9 nikaondoka. Basi bhana nimefika maeneo fulani wanaita Sakina Triple A kwa juu kidogo wanaita Manguruweni karibu na White Rose bar, kuangalia mbele naona machalii wanne wapo wamepaki bike (toyo) pembeni wanasubiria mwenzao atoke waingie wengine.
Nilipofika yale maeneo nimeshangaa usiku hivi mbona bike ipo imepaki bila mtu halafu gafla nasikia kama kelele kwa mbali, aisee naangalia vizuri kwa mbali kidogo wale jamaa mmoja aliniona wakashituana chapu wakawasha bike wakakimbilia roughroad inapanda kwa juu huko.
Kumbe ile sauti ni mwanamke aisee, chapu akanikimbilia kunishika kabisa analia, aisee ilikuwa so. Basi nikamchukua, nikamuuliza ilikuwaje hadi usiku huu unatembea?
Akaniambiya alikuwa anatoka kazini alikuwa kaingia night, kwahiyo boda aliyopanda hela ilipelea wakamtua hapo, kwao kutoka lilipotokea tukio ni kama dakika 10 hivi, kuna kanisa kubwa jipya huko mbele ndiyo mitaa yao.
Nikamwambiya nakupeleka kwenu, akawa hataki. Yaani anaogopa bado, lakini nilifanikisha. Hadi leo huwa ananishukuru sana.
Tukio lilitokea mwaka 2021.
Jf kuna watu na hawa ndo watu wake,basi bwanaNikajua uliruka makomfuu ya kihindi kama akshey... unajua wewe ni wakiume kuwa makini na hizo 'basi bwana' halafu usipende kuwashwawashwa kusimulia kila tukio hzo ni tabia za kike.