Nilim-cheat Mpenzi wangu in 2012

Yani mi naona siku izi kila kitu mchina kuanzia urafiki,uchumba,kwenye ndoa ndo usiseme,,
Inabid tu kua na moyo wa chuma ama unaeza pata presha bure
 
dah!..ebana embu ngoja niiweke hizi data zako kwenye graph tuone imekaaje!..nadhani itasaidia wadau kuchambua vizur!
 
Yani mi naona siku izi kila kitu mchina kuanzia urafiki,uchumba,kwenye ndoa ndo usiseme,,
Inabid tu kua na moyo wa chuma ama unaeza pata presha bure

solution fupi ni kuwa na moyo wa mchina as well!..
 
Mkuu kichwa yako iko njema sana, mimi huwa ikipita wiki moja nasahau yoote!
 
mwaka jana nilimcheat mke wangu na wanawake 10 nimeamua kuacha, Mungu anisamehe kwa kweli. inaniuma sana moyoni na ninajisikia aibu mbele za Mungu, EE MUNGU NISAMEHE TOKA MOYONI, sitaki tena kuzini mimi.
 
Hivi kwa nini mnajitafutia matatizo? Hivi mke wako angekufuma kwa namna moja au nyingine ukiwa unaandika hii msg kabla ya kumalizia sio wewe bali umejitolea mfano, unadhani hali ya ndoa yako ingekuwaje? Do it at your own risk.
 
Si unaona thread yangu imesaidia watu kubadili mienendo? sio lazima iwe wewe ila hata wengine tuwasaidie waache kufanya mambo ya jinsi hii, inauma sana, MANI njoo utoe ushuhuda wako hapa, Amavubi ana matangazo tata ya gesti labda na yeye ana neno

Last edited by a moderator:

I did it at my own risk ili tusaidiane kuziba kila mianya ya kuwadanganya wake zetu, naamini kuna akina dada wataelewa hizi baadhi ya tekniki zetu
 
Nitasema ukweli daima uongo kwako mwiko ,hii ni amri ya ngapi ya tanu?
 
Si unaona thread yangu imesaidia watu kubadili mienendo? sio lazima iwe wewe ila hata wengine tuwasaidie waache kufanya mambo ya jinsi hii, inauma sana, MANI njoo utoe ushuhuda wako hapa, Amavubi ana matangazo tata ya gesti labda na yeye ana neno

Mpwa Elli mimi nitayamaliza na shemejiyo maana naogopa kumwaga vitu hadharani labda inawezekana nimekuzidi ila ni wazo zuri mpwa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa nimecheka hadi basi, Heri ya mwaka mpya Mpwa.
Mpwa Elli mimi nitayamaliza na shemejiyo maana naogopa kumwaga vitu hadharani labda inawezekana nimekuzidi ila ni wazo zuri mpwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…