Nililala hapa

It's just pathetic. Habari nilizokuwa nikizisikia kuhusu shule ya Pugu uzuri wake ni kinyume kabisa na picha inayoonekana.

Wenzangu waliniambia PUGU maana yake ni People who Usually Go to University, yaani kwa anayesoma Pugu suala la kwenda university ni uhakika, si la kuuliza. Sijui kama bado ni hivyo kwa picha niliyoona.
 
Mimi nililala mapinduzi two cubicle no.2 kitanda cha kwanza cha juu nawakumbuka meti zangu akina james 100 mpwidu,mfaume omar sika,msambara halfan masoud,mrusi n.k.hiyo ndiyo st.francis college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…