Ungeshusha hata page mo1 ktk hicho kitabu ili kutuvutiaMara nyingi ninapo kaa chini, na kutafakari safari nzima ya maisha yangu,
kule Mungu alikonitoa, mpaka hapa aliponifikisha, naishiwa maneno ya kumshukuru.
Ndio maana hata sasa ninasema ya kwamba Yeye ni Eben-Ezer, nikimaanisha ya kuwa Mungu ndiye amenisaidia, kufika hatua hii niliyofikia.
Maneno ya kitabu cha Zaburi 119:17 yanayosema; "Ilikuwa vema kwangu kuwa naliteswa, ili nipate kujifunza amri za Mungu” yanaelezea sana ushuhuda mzima wa maisha yangu.
Magumu, shida na mahangaiko yote niliyopitia vimetumika kama daraja la kunivuta karibu sana na Mungu.
Zaidi ya mimi binafsi kuokolewa, ninaamini ushuhuda wa maisha yangu unaniweka kwenye nafasi ya kuwa msaada kwa wengi walio katika changamoto kama nilizopitia mimi.
Karibu ujipatie nakala ya kitabu changu kinachokwenda kwa Jina la #NILIKUWA_TEJA_SASA_NI_MCHUNGAJI
Kitabu hiki kinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 7,000/= za kitanzania.
Unaweza kununua nakala yako kwa
[emoji1428]Tigo Pesa
0659-409447
[emoji117]M-PESA 0767 879406
[emoji117]Airtel Money 0789 795435
[emoji1428]Hakikisha unanitumia na majina yako kamili.
Kwa huduma ya[emoji1428] (delivery) utachingia nauli kidogo.
Barikiwa[emoji1431]
@pastorwinner80
Ukonga
February 12,2021View attachment 1701077View attachment 1701078
Jifunze kuheshimu kitu cha mwenzako mkuu, iwe mawazo au kazi yakeNdio utumbo gani huu umetuletea hapa
Baba mchungaji huna haja ya kujibu watu kama hao halafu leo jumapiliJifunze kuheshimu kitu cha mwenzako mkuu, iwe mawazo au kazi yake
Usimzarau mtu mkuu hii Dunia, na uwezi jua nani atakusaidia
Nina ushuhuda wa watu niliowadharau lakini leo hii wameniacha mbali sana ingawa naamini ilikua ni akili isiyo komaa hivyo sikupaswa kuhukumiwa
Mkuu haya maisha tuu, jamaa katumia muda wake na gharama zake kuandaa hicho anachosema kina mafundisho ndani yake
Wakati mwingine jifunze kupita kimya si lazima ukomenti
Aaah hawa hater wanaboa Sana mama mchungaji[emoji16][emoji16]Baba mchungaji huna haja ya kujibu watu kama hao halafu leo jumapili
Unaachana nao tuAaah hawa hater wanaboa Sana mama mchungaji[emoji16][emoji16]
Mama mchungaji op siyo mimiUnaachana nao tu
Tuwekee basi viepisode vichache tujisomee ili iwe rahisi watu kununua kitabu
Barikiwa uwe na jumapili njema baba mchungaji
Basi nilijua wewe ulivyomjibu huyo mtu op aje basiMama mchungaji op siyo mimi
Nahisi kakata tamaa kutokana na huyo kilaza alivyonijibu hapo juuBasi nilijua wewe ulivyomjibu huyo mtu op aje basi
Masikini aje tu kuna watu wengine sijui wapojeNahisi kakata tamaa kutokana na huyo kilaza alivyonijibu hapo juu