Nilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.
Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.
Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa
Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
naona wewe ndio ueleweki siyo chademaNilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.
Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.
Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa
Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
Muda utazungumza, ngoja chama kife kabisa, ndio utanikumbukanaona wewe ndio ueleweki siyo chadema
Zama za uwazi na ukweli mkuu, acha watu waambiwe ukweli wajirekebisheDuuu!!! Mkuu kusudio LA huu Uzi , naona ni kwaudhi watu .haya bwana
Nadhani hujui nguvu ya hesabu,Waliowahi kuhama vyama ni Mrema na Lowasa wa ccm na Zitto Kabwe wa chadema hawa wengine ni sarakasi tu
Mleda mada alikuwa mkereketwa wa CDM kindakindaki. Wewe ni nani mpaka umwambie hajjuelewi? Aliona mbalo sana kwa kwelinaona wewe ndio ueleweki siyo chadema
Sasa kama mtu unahama na hatuoni impact yoyotr si bora upige kimya.Jifunzeni kwa Sumaye alihama kimyakimya kwa vile hana madhara.Hao niliokutajia walikuwa na impact kwa wakati wao labda kama wewe ni Dr SlaaNadhani hujui nguvu ya hesabu,
umehamia chama gani?Nilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.
Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.
Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa
Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
Nilitarajia kugombea ubunge 2015, kwa tiketi ya chadema, ila nilivyohama niliamua kupumzika kugombea hadi hapo baadae, ila nipo pamoja na chama changu.Ulihama ukiwa na haiba gani, maana bado unajiita Mbunge mtarajiwa ........
Nakupongeza mkuu
Tuna tatizo la msingi ambalo ili kuondokana nalo ni lazima kulikubali kwanza
CHADEMA ni chama chenye mrengo na sera sahihi za kuikomboa nchi hii katika umasikini wa kutupa
CCM imeshafeli na imethibitisha kufeli huko mara nyingi..na haiwezi tena kutusogeza mbele
Tuna tatizo la ndani la chama chetu la kuacha misingi...Kiongozi wetu Mbowe ametusaliti katika nia ya pamoja
Wewe umeamua kuondoka....wish you all the best...wengine tumebaki na tutabaki kukirudisha chama kwenye misingi
Mkuu siasa haitaki hasira.Hapa Freeland umewakilisha mawazo yangu, Mbowe ndio kaleta bao la kujifunga, kwa hiyo Mbowe akae pembeni na hiyo gear yake ya angani. Sisi tunaikubali cdm na hatuwezi kuicha kwa ajili ya hayo mapandikizi ya ccm, tutahakikisha mapandikizi yanaondoka na huyo mshenga wao. Huyo aliyeondoka enzi hizo za 2013 huenda alikosa cheo, ila kwa sasa Mbowe alicheza karata mbovu kwa kutulisha wali wenye mawe. Hayo mapandikizi yanayopatiwa nafasi leo walikuwa nyumba ya jirani wakati sisi tunapigwa mabomu. Leo eti wanakaa hightable kutuelekeza namna ta kuendesha chama. Kabla ya haya mapandikizi ya kuharibu chama chetu, tulikuwa tukiongea serekali inatia akili na sio kuishia kutetea mapandikizi yenye madoa yaliyotoka nayo nyumba ya jirani.
Hasira kwa kuwa nmesema ulihama kwa kukosa cheo?Mkuu siasa haitaki hasira.
Hapana kaka,umeonysha hasira kali kwa mwenyekiti wako. Kaeni tu mlimalize kwa mazungumzoHasira kwa kuwa nmesema ulihama kwa kukosa cheo?