Nilikuwa sahihi kuhama CHADEMA

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,306
Nilijiunga na CHADEMA mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.

Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa

Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
 
Nilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nakupongeza mkuu

Tuna tatizo la msingi ambalo ili kuondokana nalo ni lazima kulikubali kwanza

CHADEMA ni chama chenye mrengo na sera sahihi za kuikomboa nchi hii katika umasikini wa kutupa

CCM imeshafeli na imethibitisha kufeli huko mara nyingi..na haiwezi tena kutusogeza mbele

Tuna tatizo la ndani la chama chetu la kuacha misingi...Kiongozi wetu Mbowe ametusaliti katika nia ya pamoja

Wewe umeamua kuondoka....wish you all the best...wengine tumebaki na tutabaki kukirudisha chama kwenye misingi
 
naona wewe ndio ueleweki siyo chadema
 
Nadhani hujui nguvu ya hesabu,
Sasa kama mtu unahama na hatuoni impact yoyotr si bora upige kimya.Jifunzeni kwa Sumaye alihama kimyakimya kwa vile hana madhara.Hao niliokutajia walikuwa na impact kwa wakati wao labda kama wewe ni Dr Slaa
 
Nilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.

Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa

Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
umehamia chama gani?
 
Ulihama ukiwa na haiba gani, maana bado unajiita Mbunge mtarajiwa ........
Nilitarajia kugombea ubunge 2015, kwa tiketi ya chadema, ila nilivyohama niliamua kupumzika kugombea hadi hapo baadae, ila nipo pamoja na chama changu.
 
Sina chama ila ili chama kiwe imara lazima watu waondoke na wengine waingie.Ni matumaini yangu mbele kutakuja kuwa na upinzani imara kwa wale wanaomini na siyo kwa wale wanaoamini upinzani kwa kumfuata mtu.
 
Nakupongeza mkuu

Tuna tatizo la msingi ambalo ili kuondokana nalo ni lazima kulikubali kwanza

CHADEMA ni chama chenye mrengo na sera sahihi za kuikomboa nchi hii katika umasikini wa kutupa

CCM imeshafeli na imethibitisha kufeli huko mara nyingi..na haiwezi tena kutusogeza mbele

Tuna tatizo la ndani la chama chetu la kuacha misingi...Kiongozi wetu Mbowe ametusaliti katika nia ya pamoja

Wewe umeamua kuondoka....wish you all the best...wengine tumebaki na tutabaki kukirudisha chama kwenye misingi

Hapa Freeland umewakilisha mawazo yangu, Mbowe ndio kaleta bao la kujifunga, kwa hiyo Mbowe akae pembeni na hiyo gear yake ya angani. Sisi tunaikubali cdm na hatuwezi kuicha kwa ajili ya hayo mapandikizi ya ccm, tutahakikisha mapandikizi yanaondoka na huyo mshenga wao. Huyo aliyeondoka enzi hizo za 2013 huenda alikosa cheo, ila kwa sasa Mbowe alicheza karata mbovu kwa kutulisha wali wenye mawe. Hayo mapandikizi yanayopatiwa nafasi leo walikuwa nyumba ya jirani wakati sisi tunapigwa mabomu. Leo eti wanakaa hightable kutuelekeza namna ta kuendesha chama. Kabla ya haya mapandikizi ya kuharibu chama chetu, tulikuwa tukiongea serekali inatia akili na sio kuishia kutetea mapandikizi yenye madoa yaliyotoka nayo nyumba ya jirani.
 
Mkuu siasa haitaki hasira.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom