Nilikuwa sahihi kuhama CHADEMA

Kuna mambo yanaumiza ndani ya CDM yangu,ukikaa chini na kutafakari kwa kina yaliyotokea mwaka 2010 na 2015. Adui yetu namba 1 mwaka ule ndiye kipenzi chetu namba 1 mwaka jana.........
 
Nakupongeza mkuu

Tuna tatizo la msingi ambalo ili kuondokana nalo ni lazima kulikubali kwanza

CHADEMA ni chama chenye mrengo na sera sahihi za kuikomboa nchi hii katika umasikini wa kutupa

CCM imeshafeli na imethibitisha kufeli huko mara nyingi..na haiwezi tena kutusogeza mbele

Tuna tatizo la ndani la chama chetu la kuacha misingi...Kiongozi wetu Mbowe ametusaliti katika nia ya pamoja

Wewe umeamua kuondoka....wish you all the best...wengine tumebaki na tutabaki kukirudisha chama kwenye misingi
Umejikaza kumsema Mbowe
 
...usaliti wa Mbowe ni upi?
 
Hapa Freeland umewakilisha mawazo yangu, Mbowe ndio kaleta bao la kujifunga, kwa hiyo Mbowe akae pembeni na hiyo gear yake ya angani. Sisi tunaikubali cdm na hatuwezi kuicha kwa ajili ya hayo mapandikizi ya ccm, tutahakikisha mapandikizi yanaondoka na huyo mshenga wao. Huyo aliyeondoka enzi hizo za 2013 huenda alikosa cheo, ila kwa sasa Mbowe alicheza karata mbovu kwa kutulisha wali wenye mawe. Hayo mapandikizi yanayopatiwa nafasi leo walikuwa nyumba ya jirani wakati sisi tunapigwa mabomu. Leo eti wanakaa hightable kutuelekeza namna ta kuendesha chama. Kabla ya haya mapandikizi ya kuharibu chama chetu, tulikuwa tukiongea serekali inatia akili na sio kuishia kutetea mapandikizi yenye madoa yaliyotoka nayo nyumba ya jirani.

...kumbe ulitaka wewe ndio ukae high table?!,kwani high table huwa ina viti vingapi vile?, hatuwezi enea wote!!
 
Muda utazungumza, ngoja chama kife kabisa, ndio utanikumbuka

Hilo utaingia wewe na wajukuu wako wote lakini Chadema itabaki, ila tishio kuu la Chadema Ni pale ccm itakapoacha ufisadi na kuwapatia wananchi kile wanachokihitaji, lakini chini ya wakereketwa wa ccm hilo ni ndoto
 
Kwani kinachofanyika sasa chini ya jembe kuu ni kipi
 
Nilijiunga na chadema mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.

Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa

Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
wewe kwa nini hukukaa ukatafakari bali ulikimbia sasa unawashauri wakae na kutafakari? this is pathetic
 
Kila kitabu na zama zake, yaliyotokea kipindi kile ni tofauti na sasa, kama utakuwa unafatilia utakuwa umenielewa
 
Hapa Freeland umewakilisha mawazo yangu, Mbowe ndio kaleta bao la kujifunga, kwa hiyo Mbowe akae pembeni na hiyo gear yake ya angani. Sisi tunaikubali cdm na hatuwezi kuicha kwa ajili ya hayo mapandikizi ya ccm, tutahakikisha mapandikizi yanaondoka na huyo mshenga wao. Huyo aliyeondoka enzi hizo za 2013 huenda alikosa cheo, ila kwa sasa Mbowe alicheza karata mbovu kwa kutulisha wali wenye mawe. Hayo mapandikizi yanayopatiwa nafasi leo walikuwa nyumba ya jirani wakati sisi tunapigwa mabomu. Leo eti wanakaa hightable kutuelekeza namna ta kuendesha chama. Kabla ya haya mapandikizi ya kuharibu chama chetu, tulikuwa tukiongea serekali inatia akili na sio kuishia kutetea mapandikizi yenye madoa yaliyotoka nayo nyumba ya jirani.

Kwa kumbukumbu zangu Mbowe kasema ataachia uongozi wa Chama mwakani ingawa katiba inamruhusu mpaka 2019
 
Kwani kinachofanyika sasa chini ya jembe kuu ni kipi

Hilo nakuhakikishia kama Kuna raisi atakuja kushindwa vibaya Ni huyu mzee wa kukurupuka, kosa kubwa litakalomtesa ni kuwakingia kifua mafisadi walio ndani ya chama
 
Nilijiunga na CHADEMA mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.

Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa

Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
Wewe umevimbiwa nini na buku 2/7 au umekula vilio chacha maana mshiko nasikia jamaa kabana hadi huko.
Hebu ondoa ushuzi wako hapa, wenzako wanaona kiama huko swisswism unatuletea sarakasi zako.
Mwana swisswism kuuona Ufalme wa Mbigu ni bora ngamia kwani toka uhuru hadi leo ni vilio tu hata chakula no.
 
Hilo nakuhakikishia kama Kuna raisi atakuja kushindwa vibaya Ni huyu mzee wa kukurupuka, kosa kubwa litakalomtesa ni kuwakingia kifua mafisadi walio ndani ya chama
Nami nakuhakikishia, atafanikiwa kwa asilimia nyingi sana, amini ninachokuambia. Ukitaka kumjua mchawi mpe mtoto akulelee. Kila jambo na muda wake
 
waliostahili ni waliokipigania chama na wenye damu ya cdm, sio huyo aliyetoka mtaa wa pili huku akiwa ni mtu tuliyemkataa muda wote

...kumbe ulitaka wewe ndio ukae high table?!,kwani high table huwa ina viti vingapi vile?, hatuwezi enea wote!!
 
Unausaka ubunge? njoo ACT chaka la wana.

Mi nilijua chama la wana, kumbe ni CHAKA LA WANA. Mi nipo na chama kinachotambua nini maana ya siasa na uongozi, CHAMA LA MAPINDUZI
 
Nilijiunga na CHADEMA mwaka 2011, kabla ya hapo nilikuwa mkereketwa tu wa chama. Mwaka 2013 baada ya kuona mwelekeo wa chama unaenda ndivyo sivyo, ilinilazimu kuhama chama. Kumbe dalili za mvua zilijionyesha ni kipi kinachoenda kutokea. Nashukuru nilipima hizo dalili, na leo hii inajidhihirisha kilichobashiriwa, kwani sasa haieleweki chama kinaelekea wapi. Kwa matukio ya hivi karibuni, inajionesha, baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu.

Nawashsuri ndugu zangu kama bado mna nia ya kujenga upinzani wa kweli mkae chini, mjitafakari ni wapi mlijikwaa, muondoe kasoro zote. Bila upinzani madhubuti, hata serikali haitoweza ona wapi inakosea.

Tunawatakia mafanikio mema ya kuangalia mlipojikwaa

Nawasilisha
Mbunge mtarajiwa
Sawa mbunge mtarajiwa.. Ukishaupata huo ubunge njoo utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom