Wamasai wameshajua ni story za aina gani mnapenda kusikia. Kwa hiyo hata mkizungumza, atakupeleka humo humo.
Story ya kuchomeka Mkuki haipo na ni uongo mtupu.
Story za huyo mganga alikuwa anakuelekeza kibra, akupige hela za kwenda kumuona ili nawe utajirike.
Pole sana Mkuu.