Nilikuwa namngoja arejee baada ya kufanya nae mapenzi kwa lengo la kunikomoa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,779
Kuna mahala hatukuenda sawa, kitendo kilichomfanya kukasirika akitegemea kwamba nitamnyenyekea na kumuomba msamaha.

Binafsi sielewi ilikuwaje hadi yeye kufahamiana kwa namna ile na rafiki yangu wa damu. Ila kauli ninayoikumbuka kutamkiwa kwenye simu baada ya kuwa mgumu kunyenyekea na kuomba msamaha ni "Subiri utaona, utamuuliza huyo rafiki yako"

Kwa sasa nshafahamu kuwa ni mara tatu wamefanya mapenzi ili niumie, cha ajabu bado naendelea kudunda mtaani, na majukumu yangu hayajaathiriwa kwa kiwango chochote.

Mida hii ya jioni katoka kunipigia simu na kuanza kujiongelesha na kujiliza kilio cha kinafki huku akiomba msamaha.

"Matapishi ni kinyaa, huwezi rudisha tena kwenye kinywa". Alisema Rich Mavoko
 
Mle jicho mmalizane
 
Back
Top Bottom