Nilikuwa bize na mgeni wangu!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Sikuwa hewani....nilikuwa bize na mgeni wangu!
Kwa wote mliokuwa mnafutilia issue ya mgeni wangu kutoka km 1000 kuja dar ijumaa jioni ! Ni hivi kama walivyoshauri wengi nilimpokea mimi na mke wangu !
Tumempeleka kariakoo na maeneo mengine ya shopping !
Ila jana ameniambia anataka aje ofisini kwangu jumatatu ana mazungumzo binafsi! Haya aliniambia mama watoto akiwa jikoni!
Mchana mwema!
 
Hukufanya vyema. Ulitakiwa kuwa na 'Separate Sessions' kati yake na mkeo. Umemnyanyasa sana...na kumkera sana
 
mmmmh ulimladha kwako loh huo ukarimu ni balaa
 

Sijaelewa vizuri, ana mazungumzo binafsi na mkeo? Huyo mgeni ni ndugu yenu? Ni jinsia gani? ofisini? Anatafuta kazi? Ana umri gani? Ana familia? Mlifahamianaje?
 
Nimefurahishwa na wewe kumsalimisha kwa mkeo maana ungeishi bila raha.Ila movie bado inaendelea hii.
 
Hii wanaipatia Wanyakyusa tu
 
Jiandae kumwona akiwa na mke wako huko ofisini. Mke wako ni mjanja na mwenye akili kuliko unavodhani. Usicheze na insticts za mwanamke. Au umesahau ulitwambia Dar haijui kabisa??

Leo unaumbuka, usiache kutupa updates. Hahhahaha!!!! I wish ya luck, hata hivo.
 
du nasubiri ana kuja saa nane
 
Mkuu, saa 9 hii!! Au amekuwa na saa za kule kijijini?? Hili timbwili utalibebea mbeleko ya turubai. I still hope you went through it unscathed!!
Reply With Quote

YAAH HUWEZI INGIA JF NA MGENI AKIWA MBELE YAKO UATAMBOA NA MAUTAMU YA JF KAMANDA......AMENIELEZA AMEFURAHI SANA KUWA NA FAMILA YANGU KIKUBWA AMEIPENDA DAR !
TUNAKAA MPAKA SAA 12 NIKAMPANDISHE TRENI LA MWAKYEMBE AZIDI KUUJUA MJI!
 
Mgeni amepajuaje ufisini kwako?
 

Lay low, mkuu!! Ni kweli JF inaweza kukuletea hasira, majonzi, smile, kicheko na emotions nyingine kibao. Kuepuka hayo mbele ya mgeni, usijishughulishe na kutupa updates. Lakini nasisitiza, usiharibu!! Hhahahaahh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…