Nilikunywa maji ya kutawazia!

Joined
Feb 27, 2013
Posts
46
Reaction score
3
kwa mala ya kwanza kufika town kwa rafiki wa #Baba {mungu amrehemu} nikaomba kwenda chooni kuingia tu kwanza nika vua gulubasi jinsi marumaru inavo ng'aa choo kina nukia vizuri baada ya kukojoa ktk lile cnk hata ckujua kama kuna kumwaga maji wala kuflash kwa kuvuta ile kamba me nime zoe choo cha ku risasi pemben kulikua na ndoo ya blue imejaa maji masafiiii juu yake kuna kijibomba kifupi afu kombe kubwa lina elea juu nilikua na kiu toka njiani nika piga kombe 1 la ushindi hua ni kikumbuka huwa na fyonza tu!
 
Hapo kwenye bold ndio nini?
 

Hiki ni kiswahili au? Kweli elimu yetu iko mochwari
 
Huo mwandiko sijui kwenye karatasi unakuwaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…