Nilikua siikubali Peaky blinders Series

Don_rich2

Member
Joined
May 15, 2020
Posts
6
Reaction score
17
Nilikua siikubali Peaky blinders...Ila nkaicheck imetisha Sana ...anyways nshamaliza seasons 5 ...nasaka ya 6.

Toa maoni yako.[emoji41][emoji41]
 
Angalia the 100,hayo ndo maoni yangu.
Imekuja kuwa series mbovu kuliko nyingi sana, waiharibu baada ya kulazimisha iwe na mwendelezo

The 100 Kali iliishia season 3 tu, huko mbele hapana aisee
 
Imekuja kuwa series mbovu kuliko nyingi sana, waiharibu baada ya kulazimisha iwe na mwendelezo

The 100 Kali iliishia season 3 tu, huko mbele hapana aisee
Haya tutatazama insyuka..🤣
 
Kuna series huwa zinabaki kuwa bora kwangu miaka yote kama

  • Game of Thrones (GOT)
  • Vikings
  • The Blacklist
  • Macgyver
  • Strike back
  • Scorpion
  • Seal Team
  • Into the Badlands

Sasa hivi nipo nacheki The last resort, Designated survivor na Agent x
 
24 hours hukuwahi kuicheki?
 
Kwa siku 1 nikiangalia ni epidode 2 tu. Hizo episode nitamaliza mwaka gani?
Kutokana na bando kupanda nikasema niende kwa banda umiza maajabu.
Episode 1 wao wanakata mara 4 nilichoka. Kwa season nadownload ila movie naenda vibanda umiza kila 1 moja ni 200 nikiwa na buku napata movie 5. Ila series napakua tu
Nani anataka kaungalia episode 3000.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…