ndo mana Tanzania yetu inabaki nyuma....mbumbumbu ndo wakuu wenyewe!mbumbumbu, hebu acha masikhara mkuu!
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?
Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.
Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
Mi mwenyewe imenitokea...kujibu tu swali la kwanza wakaanza kunikosoa...sijui relax mara hujui kiingereza, hapo wakaniharibia mud kabisa. Muda mwingine wanakuwa tayari na watu hivyo wanatafutia mtu sababu za kushindwa...
Wa tz cjui tumelogwa na nani?niliitwa kwenye interview na nimetoka mbali from nanyumbu mtwara huko cyo halafu nimepigiwa cm j5 natakiwa dsm ijumaa nimejitahidi nimefika dsm but nimechoka vibaya nimeingia kwenye interview nikakuta wazungu 2 mbongo mmoja coz ni mara 1 kupga interview nilikua nnahofu kinoma na wale wazungu ikizingatia english yenyewe ya kuungaunga lakini cha ajabu wale wazungu walikua wanajitahidi kuongea english rahisi hili niwaelewe na nilikua nna wajibu fresh hla huyo mswahili alikua anaongea english km ananikoma misamiati migum yaani nnarudi gheto nnacheki kamusi ni vitu vinaeleweka niliulizwa maswali 8 mzungu 3 mbongo 5 ya mzungu nimepga ya mtz yote nimein
pole mwaya nakuelewa sana tena sana
Wabongo full kubaniana, huyo mbongo alikuwa anakukomoa labda tayari alikuwa ana mtu wake akataka wewe uchemshe....
Wa tz cjui tumelogwa na nani?niliitwa kwenye interview na nimetoka mbali from nanyumbu mtwara huko cyo halafu nimepigiwa cm j5 natakiwa dsm ijumaa nimejitahidi nimefika dsm but nimechoka vibaya nimeingia kwenye interview nikakuta wazungu 2 mbongo mmoja coz ni mara 1 kupga interview nilikua nnahofu kinoma na wale wazungu ikizingatia english yenyewe ya kuungaunga lakini cha ajabu wale wazungu walikua wanajitahidi kuongea english rahisi hili niwaelewe na nilikua nna wajibu fresh hla huyo mswahili alikua anaongea english km ananikoma misamiati migum yaani nnarudi gheto nnacheki kamusi ni vitu vinaeleweka niliulizwa maswali 8 mzungu 3 mbongo 5 ya mzungu nimepga ya mtz yote nimein
Usikonde ndugu,kutokujua kizungu vizuri sio mwisho wa maisha.....English ni lugha tu kama nyingine sema wabongo tunaona kuonekana tunaongea kizungu ni usomi.....kaza buti neema yako iko mlangoni...usikate tamaa.

usiogope. Siku nyingine ukiitwa kwenye intavw usimwogope yeyote kwenye pannel. Cha kwanza ukiingia, jenga ujasiri akilini na moyoni mwako kwamba HII KAZI NI YANGU af washushe wote uwaweke kwenye levo ya baba, mama kaka au dada zako ambao uko huru kuongea nao bila hofu.
Swali lolote utakaloulizwa hata kama ni gumu jitahidi useme lolote, PIGA SIASA, si unajua staili ya wale watu wa mjengoni hata ukimkurupusha hawezi akakosa cha kukuambia. Jaribu mbinu hii
Nakuunga mkono hapo kwenye red...... jamaa huwa anaandika mabombastic tupu.......Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?
Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.
Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
lol mkuu wangu paulss umenifurahisha sana!!Niliwahi kupiga usaili na Wakenya...........washenzi sana wale jamaa
Usaili wa kwanza watu kama 50 tulifanyiwa na wabongo fresh tu, wakachujwa. usaili wa pili tulikuwa 12 tukakutana na Wakenya watupu.........jasho lilinitoka, kwanza wanaanza kukuharibia mudi baada ya swali la kwanza tu kuwa unakiingereza kibovu.........the wanaanza kukubana na maswali just for fun.........vicheko
Wakatujuja tukabaki 6, walikuwa wanatakiwa watu 2 sikurudi tena kwa interview ya mwisho nikaona nikomae na kazi yangu tu.
Baadae kampuni yenye ikafilia mbali