nilifukuzwa shule na headmaster kisa mwanamke.

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
ilikua katika shule ya thomas high school nilipokua form 6
msichana huyo alikua ni rafiki yangu tu na si mpenzi kutokana na mkuu wa shule kumtaka na kumfuatilia mda mwing aliwah kuniona nae mara kadhaa kipindi cha mapunziko
siku niliyofukuzwa lilikuja gari la mkaa likiwa na magunia 11 tukiwa tunajisomea kwa ajili ya mtihani zilibakia kama 5 minute tukafuatwa wawili tukabebe gunia za mkaa mimi na mwenzangu(rafiki wa kiume) tuligoma tukaambiwa tumesimamishwa shule hali ya kufukuzwa shule kwa uonevu ilipelekea kuleta fujo na vurugu shuleni na amani ilitoweka hadi nusu ya darasa ilipewa sunspesion niliumia xana
 
kosa ulilofanya ni kukataa kubeba mkaa we na mwenzako. huo ni utovu wa nidhamu. na shule kama seminary unafukuzwa fasta hivo wewe ndio makosa na uyo mwenzako. uwe unasikiliza wakubwa na wakuu wako
 
kosa ulilofanya ni kukataa kubeba mkaa we na mwenzako. huo ni utovu wa nidhamu. na shule kama seminary unafukuzwa fasta hivo wewe ndio makosa na uyo mwenzako. uwe unasikiliza wakubwa na wakuu wako

magunia 11 ya mkaa watu wawili na kuna mtihani 5 minutes later nashukuru hata walimu waliona sio sawa hadi kupelekea ugomvi na mkuu wa shule ukizingatia wafakazi wapo na si seminary wala boding
 
mbona kosa hapo ni kukataa kubeba mkaa? sijaona hiyo sababu ya mwanamke.
 
Hahaha kumbe harakati na hawa viumbe wavaa sketi zilianza long eeehh, ingekuwa inasoma ingekuwa ishafutika yote.
 
skirt zinarudisha nyuma maendeleo
 

Duu kweli walimu wa siku hizi nidhamu imeshuka, by the way, sasa ulifanya mtihani tena? Au ulifanya kama private candidate?
 
Duu kweli walimu wa siku hizi nidhamu imeshuka, by the way, sasa ulifanya mtihani tena? Au ulifanya kama private candidate?

niliambiwa niliambiwa nirudi siku ya mtihani na ada nilipe thankx nilifaulu now niko chuo
 

teens mind huwa za ajabu sana nahisi hadi walimu huwa wanaathiriwa pia na hali hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…