Then Ujumbe huu usiishie Hapa tu upeleke kwa Bibi yako na Babu yako kule kijijini nami niupeleke kwa Mjomba wangu anayechomwa na Miba akichunga Ng'ombe kule Polini kwa kuwa WAO ndiyo waliompa hiyo 61%
Laiti Olymipic ingekuwa na mchezo wa Kiduku naimani angetuletea medal ya Gold!
Changiane lakini mcpende ku2mia dini na kumponda m2..kama mkosaji m1 kwann mhusishe na waumini wa dini nyingine?
Ndio Rais wenu hata mtapike hapa JF! Mtasema mtalala! Yeye anaendelea na ninyi mtabakia na kijiba cha roho!
Maneno ya kiswahili hayo sasa,kijiba cha roho maana yake nini?au ndio taarabu imeanza hivyo?
Ndio Rais wenu hata mtapike hapa JF! Mtasema mtalala! Yeye anaendelea na ninyi mtabakia na kijiba cha roho!
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia.
Katika hili tulitofautiana na wengi sana kipindi cha mwanzoni.
Ila sikutegemea angefanya mambo ya ajabu ambayo kwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuyafanya kwa nchi yake na wananchi wake (yaani waislamu wenzake,wakristo na wapagani) wa Tanzania hii yenye rasilimali nyingi za ambazo tungezitumia vizuri tusingekuwepo hapa tulipo na wala tusingeyapata yaha tunayoyapata.
Yaani nilijua ameoza tu,kumbe "nilimuunderestamate" alishabakia mifupa tu.
Wadanganyika wenzangu Openi your Mind, not your Eyes.