hakujua alichokua anafanya na hatima yake hakuijua,
wasichana wengi wazuri wabichi wanaliwa na vihuni vya kuweka vileso mifuko ya nyuma na wanaona wamefika wakifuatwa na watu wanaowapenda kwa dhati na wastaarabu wanaona ni kupotezeana muda mpaka watakapoingia mkenge.
Achana nae ameshaadhibiwa tayari
Ni dada ambaye tulikuwa tunasoma kidato kimoja shule moja mkoan Mbeya. Nilimpenda sana huyu dada ikabidi nmwelezee ukweli wa moyo wangu lakin yeye alinifanya mdori wa kuchezea. Kila nikimwita pemben na kumpiga sound alikuwa anasema tuongee usku kwenye sim . Sikujua kumbe ananiweka roudspika akiwa bwenini na wananisikiliza wenzake wote ninavyojikanyaga kidume. Nilikuja kushtuka mda wa kula tukiwadyning nikakuta wananicheka na kuniangalia mm aisee sku hyo sikula chakula kila napopita mabint wananicheka ni bint mmoja ndiye alikuja kuniambia kuwa kwann wananicheka. Iliniuma sana nilijuta kumtongoza yule dada. Ilikuwa mwezi jana tareh 20 nilikutana na yule dada tukiwa kwenye gari mm nilikuwa naenda Arusha nilimkuta ana mtoto tayar alinichangamkia sana nami nikamchangamkia akaniomba namba ya sim nam nikampa. Akaanza kuniulizia kuwa nimeshaoa? Mm nikakataa tangu sku hiyo anataka tuishi pamoja. Alinikataa kipindi bado mbichi sasa hivi kazalishwa ananitaka ananifanya mm UNICEF. Sasa ameumia lazma nimtoe machoz na nimuabishe. Jana nmeshatuma posa kwao nataka nmjaze mimba na mm na nimfukuze na kumnyanyasa kama mbwa ili ajutie kunikurupukia wakat alinidhalilisha..
Hawa form six watatujazia server sana, jeshini mnakwenda lini?
Mkuu Makomana achana na huyo dada, unaweza ukadhani utamkomoa kumbe utajikomoa mwenyewe! usicheze na maisha ya watu, hakuna kitu kibaya kinachoweza kumfanya mtu akufanyie kitu kibaya maishani especially kukuua/kukuloga kama kumuharibia maisha yake.
Kama hapo tu anaonekana amekongoroka hadi akazalishwa ujue kuna tatizo, naona unabiringisha jiwe mlimani ambapo mwishowe litakurudia mwenyewe.
Nakushauri achana na huyo mwanamke na wala usimkumbushe aliyokutendea.
hakuna kitu kama hicho.... Nmeandika hapa ili wanawake wengne mjifunze kama ulishamkataa mtu tena kwa dharau ukiwa mbbichi sasa unamfuta wa nn wakat tayar umeshakongoloka? Sasa huyu mwnzenu ajiandae kudhalilishwa