Hiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simpleUnajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaniwe tuUkweli ulivyo hali ni mbaya sana kwa wachuuzi wadogo wadogo,nenda bonde la mto Ruvu,huruhusiwi kushika mfuko wa bamia kama huna kitambulisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiuhalisia Hawa akina mama hawakupaswa wawe na Kodi kabisa just imagine mtu anachukua nyanya za elfu10 anaenda panga kuuza chini na zinachukua siku3 halafu unamuwekea Kodi juu.Unajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nmepata taabu mnoo kusoma ulichokiandika... nakushauri rudi chekechea bado hujachelewa.Unajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nimlipie kama una info zakeHiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simple
Mfano bima ya afya ya middle hosptal ni 50000 mpaka laki kwa mwaka ingekua ni simple hivyo kila mtanzania angekua nayo kuliko kulipa 8000 au 10000 kila mtu anapougua
Halafu hizo 200 wanazotoa ushuru ni kusafisha masoko na kuyaendeleza huyo jpm wenu anayeng'ang'ania hiyo 20k ya vitambulisho ndo atakuja kuwasafishia masoko na kuyaendeleza????
Sent using Jamii Forums mobile app
hata mie ila nilichomgundua ni kama anafanana namkuu nmepata taabu mnoo kusoma ulichokiandika... nakushauri rudi chekechea bado hujachelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni fala tu wa lumumba unaongea utadhani upo juu ya sheria yaani mimi nimpe akate kitambulisho 20k ikanunulie mandege ya kipumbavu sio bora nimpe tu akale na wanaye???Mjomba alisema kuwa ' ..mwenye mtaji wa chini ya mil. 4 ndio anapaswa kulipia kitambulisho.' Maana yake hata kama uwe na mtaji wa buku na ni mfanya biashara,lazima ulipie kitambulisho.
Lakini jamaa, nilidhani ungemlipia huyo mama si ingekuwa poa sana...kuumia ma kukasirika hadi unatokwa jasho bilakutoa msaada ni uboya,usirudie tena huo ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina mama wengi hawana mitaji wanakopa nyanya au kitunguu mfano ndoo moja wanauza wakishauza wanarudisha hela ya watu anapata hapo kafaida kidogoMkuu kiuhalisia Hawa akina mama hawakupaswa wawe na Kodi kabisa just imagine mtu anachukua nyanya za elfu10 anaenda panga kuuza chini na zinachukua siku3 halafu unamuwekea Kodi juu.
Ni hizi nchi za kiafrica tu ndo Kuna upumbavu huu
Wewe ni fala tu wa lumumba unaongea utadhani upo juu ya sheria yaani mimi nimpe akate kitambulisho 20k ikanunulie mandege ya kipumbavu sio bora nimpe tu akale na wanaye???
Sent using Jamii Forums mobile app