Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,646
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,646 2,000
We hebu waza kina mama wajane wanaouza nyanya au vitunguu au bamia au karoti za 200 au 300 sokoni wanalazimishwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali si uonevu tu huu?

Hili soko nimelificha tu ningetaja kabisa tatizo ni kuwa ukitaja badala ya kusaidiwa wale wamama wanaouza wanaweza kushughulikiwa mpaka wakajuta

Kibri gani kimewapata watawala nanukuu

"we mama muuza vitunguu kama hutakata kitambulisho cha ujasiriamali keshokutwa nisione ukikatiza hata kwenye geti la sokoni hatutaruhusu ufanye biashara"

Huyo mama alijibu kwa unyonge mno
"Jamani hivi vitunguu hata ndoo ndogo havifiki kwa siku nikiuza simalizi hata sadoline tatu nitatoa wapi hiyo elfu 20 ya kitambulisho vitunguu vyenyewe tunapanga hapa chini ili tubangaize"

"Mama hata useme nini hilo ni agizo na lazima utaratibu ufuatwe" wakaondoka (wapo sita) wakamfata mfanyabiashara mwingine

Nilihisi kutokwa jasho kwa hasira yaani hadi machozi yalitaka kunidondoka mmeshindwa kutafuta njia za kupata mapato huku tuna rasilimali nyingi badala yake mnakamua Wanawake wajane?

Hii ndo sera ya Magufuli?

Huo urais wa wanyonge uko wapi?

Nimeumia sana mtu anauza vitunguu 300 fungu na anauza amepanga ardhini juu ya mfuko wa salfet unamfukuza sokoni kisa ya 20000 na kitambulisho? Mlaaniwe mnaofanya dhuluma wote

Nimeumia mno
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,646
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,646 2,000
Unajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simple

Mfano bima ya afya ya middle hosptal ni 50000 mpaka laki kwa mwaka ingekua ni simple hivyo kila mtanzania angekua nayo kuliko kulipa 8000 au 10000 kila mtu anapougua

Halafu hizo 200 wanazotoa ushuru ni kusafisha masoko na kuyaendeleza huyo jpm wenu anayeng'ang'ania hiyo 20k ya vitambulisho ndo atakuja kuwasafishia masoko na kuyaendeleza????Sent using Jamii Forums mobile app
 
W

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
1,154
Points
2,000
W

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
1,154 2,000
Unajua kuwawanalipa sh.200kila siku kamaushuruwa soko, na hii ilikuwa zamanisiku hizisiajabu ni500sasa 200*365=75000, kwa wenye akili, hivi vitambulisho vilitakiwa vinunuliwe viishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiuhalisia Hawa akina mama hawakupaswa wawe na Kodi kabisa just imagine mtu anachukua nyanya za elfu10 anaenda panga kuuza chini na zinachukua siku3 halafu unamuwekea Kodi juu.

Ni hizi nchi za kiafrica tu ndo Kuna upumbavu huu
 
r20

r20

Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
38
Points
125
r20

r20

Member
Joined Sep 14, 2017
38 125
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,065
Points
2,000
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,065 2,000
Hiyo 20000 kwa mkupuo wataipata wapi??Ingekua hivyo kila mtanzania maisha yangekua simple

Mfano bima ya afya ya middle hosptal ni 50000 mpaka laki kwa mwaka ingekua ni simple hivyo kila mtanzania angekua nayo kuliko kulipa 8000 au 10000 kila mtu anapougua

Halafu hizo 200 wanazotoa ushuru ni kusafisha masoko na kuyaendeleza huyo jpm wenu anayeng'ang'ania hiyo 20k ya vitambulisho ndo atakuja kuwasafishia masoko na kuyaendeleza????Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nimlipie kama una info zake
 
M

mushairizi

Senior Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
156
Points
225
Age
62
M

mushairizi

Senior Member
Joined Nov 27, 2011
156 225
Nchi zinazoendelea ndio shida yetu kualalisha biashara bila kodi. Wakati huohuo mnatamani kupata misaada kutoka kwa wanaolipa kodi. Hatuwezi kuendelea kwa utaratibu huu.

Ukiyavulia maji nguo lazima uyaoge vinginevyo husivue nguo zake. Ukitaka kufanya biashara hata ikiwa ndogo kiasi gani fuata utaratibu uliowekwa vinginevyo husifanye nenfa kalime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
353
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
353 1,000
Mjomba alisema kuwa ' ..mwenye mtaji wa chini ya mil. 4 ndio anapaswa kulipia kitambulisho.' Maana yake hata kama uwe na mtaji wa buku na ni mfanya biashara,lazima ulipie kitambulisho.

Lakini jamaa, nilidhani ungemlipia huyo mama si ingekuwa poa sana...kuumia ma kukasirika hadi unatokwa jasho bilakutoa msaada ni uboya,usirudie tena huo ujinga.
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,646
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,646 2,000
Mjomba alisema kuwa ' ..mwenye mtaji wa chini ya mil. 4 ndio anapaswa kulipia kitambulisho.' Maana yake hata kama uwe na mtaji wa buku na ni mfanya biashara,lazima ulipie kitambulisho.

Lakini jamaa, nilidhani ungemlipia huyo mama si ingekuwa poa sana...kuumia ma kukasirika hadi unatokwa jasho bilakutoa msaada ni uboya,usirudie tena huo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni fala tu wa lumumba unaongea utadhani upo juu ya sheria yaani mimi nimpe akate kitambulisho 20k ikanunulie mandege ya kipumbavu sio bora nimpe tu akale na wanaye???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,646
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,646 2,000
Mkuu kiuhalisia Hawa akina mama hawakupaswa wawe na Kodi kabisa just imagine mtu anachukua nyanya za elfu10 anaenda panga kuuza chini na zinachukua siku3 halafu unamuwekea Kodi juu.

Ni hizi nchi za kiafrica tu ndo Kuna upumbavu huu
Kina mama wengi hawana mitaji wanakopa nyanya au kitunguu mfano ndoo moja wanauza wakishauza wanarudisha hela ya watu anapata hapo kafaida kidogoSent using Jamii Forums mobile app
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
353
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
353 1,000
MeruA

MeruA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
853
Points
1,000
MeruA

MeruA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
853 1,000
Hapa nilipo wafanyakazi wote wa halmashauri wamepewa kila mtu vitambulisho kazaa auze haraka iwezekanavyo,sasa kuna wenzangu na mimi wanahaha hawajui hata wamuuzie nani,wanazunguka navyo kama wamachinga,
Maisha yanaenda kasi.

Never say never
 
Forum statistics

Threads 1,284,199
Members 493,978
Posts 30,817,022
Top