NILICHOKIONA RITA AISEE VUDUME MKAE VIZURI

Wengine wanakua nakadi za kliniki zaidi ya moja kwa majina ya baba tofauti.nihatari
 
Kama hujui jina la Mama ndio unaweza danganywa
Jina la Mama likishaandikwa kule ni ngumu kupata cheti Cha pili
Labda mama adanganye jina lake
 
Sijaelewa kbs au hii PHD yang ni fake nn?
Mbona inaeleweka kabisa, ni hivi Mwanamke huyo aliyekutana nae anataka kuwa na vyeti tofauti yaani zaidi ya kimoja, vyenye majina tofauti ya BABA. Ishu kubwa ni vyeti na majina ya baba tofauti, yaani anaenda kwa baba huyu anamwambia wewe ndio baba yake, anaenda kwa mwingine anamwambia wewe ndio baba yake kama unabisha cheti hiki hapa.

Onyo lake ktk kichwa cha habari ninkwa wanaume, tusikurupuke kuwa ndio baba wa mtoto kisa umeonyeshwa cheti chenye jina lako.
 
Mbona wewe nimekuelewa mkuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hao wapo wengi sana,wengine wanataka kubadilisha majina na wanakataliwa,uzuri Rita wako vzr sana,yaani majina uliyoandika ktk tangazo lako siku unajifungua na ukasaini basis ujue hayatobadilishwa kamwe,yaani wananyooshwa kweli wanawake wenye nia ovu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…