mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Mkuu anaacha kabisa au ndo anarudi bwabwa, sababu huko watakuwa wanamtafuna ndo wanampa huo unga!!!Inawezekana anabwia unga sasa anamtafutia kesi ya adhabu ndogo kwani wanadai akikaa lupango miezi 6 anaacha kabisa
Leo mida ya saa 5 asubuhi nikiwa osterbay police,
ghafla Mkurugenzi wa kampuni ya Sincon ltd.. iliyokua na tenda ya kufanya usafi pale soko la kariakoo, bwana Peter Siniga..
amemleta mwanae kituoni na kumweka ndani kisa upotevu wa kitenge chake alichohifadhi kabatini kwake kimepotea..
Nilicheka sana moyoni..
Pia jinsi yule kijana wake alivyo anaonekani Si mtoto riziki..
Ni hayo tu ya jpili..