mke wangu hana ishu tunaminiana tupo rum moja changu chake hata simu zetu hatufichi akijisikia kupekua namna yani full kuaminiana hadi raha
Inaonekana we ni mwenyeji sana hicho chumba.
Hujakosea kabisa kaka. Kwa jinsi mahsgrl wa cku hizi hawaaminiki kabisa. Na kuhusu swala la matambara ndo zao inabidi ur wife awe anakagua room mara kwa mara. Usijute lichokifanya kabisa. Now chukua hatua ya kumweleza mkeo mapema! Ukiendelea na hii filamu peke yako mambo kati yenu yataharibika na itakuwa too late kurekebisha
kama mnaaminiana na mkeo, kwanini unakuwa na wasiwasi khs kumwambia ukweli?
mi sioni tatizo kwa ulichokifanya, watu wanaokaa nyumbani kwako wapo chini ya imaya yako na mkeo, hawatakiwi kuwa huru kwa kiasi kikubwa. mi huwa nawaambia, full uhuru ni siku wakiwa majumbani kwao, sio kwangu.
hawa wadada wanakuwaga na mambo mengi, wengine washirikina, wengine wachafu sana msipoangalia mtalishwa mpaka mavi. mwambie wife awe anamnunulia pedi ili kuepukana na hiyo kero ya matambaa, maana pedi si bei kubwa
Dah
Mkeo hampelelezi hg wake?
Mmmmh
Inawezekana alikuwa anataka apeleke kijijini kwako kwajili ndugu zake wavae
Haujaenda jandoni wewe..kwani moja ya mafundisho na makatazo ni hayo uliyoyafanya ....kwa mwanaume kama wewe hiyo ni aibu na wala hukupaswa kuileta hapa..pia wala haipaswi kumuuliza huyo dada wale mkeo watakushangaa.
Sanaaaa...mpk anajiamini kupekua..huyu c bure ukute anammendea hausigel na alienda tu kuchunguza km atakuta vibarua vya mapenzi au kucheki vyupi ...mm angekua mume wangu moto ungewaka
Ngoja ukakute chupi za mkeo sijui utasemaje.Aisee umenifunfisha. Sasa mimi nitatia timu kwa houseboy na wife kwa dada. Nitapata kitu. Hawa jamaa wakiaga kwenda kwao ukija kupekua vitu vibatoweka kimazingira. Hata chupi na handcarchief wanaiba, vyombo, na vingine. Watchout guys.
Ngoja ukakute chupi za mkeo sijui utasemaje.